Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,317
- 7,738
Asante sana mkuu kwa kutufumbua macho,Habbat soda iko ya mafuta na ya unga huwa inapatikana maduka ya dawa za asili utazipata ni nzuri mnoo na zinasaidia haswaa asikuambie mtu tunaangamia kwa kukosa maarifa
So natumiaje? Kwa mtu asiyeumwa anaweza kutumia???