Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

Habbat soda iko ya mafuta na ya unga huwa inapatikana maduka ya dawa za asili utazipata ni nzuri mnoo na zinasaidia haswaa asikuambie mtu tunaangamia kwa kukosa maarifa
Asante sana mkuu kwa kutufumbua macho,
So natumiaje? Kwa mtu asiyeumwa anaweza kutumia???
 
Deception lazma ahusike hapa maana alituambia hiv is fake.

Hapa nazidi kuthibitisha uwezo mdogo wa namna ya kufikiri kwa wachangiaji hoja,yaani hata likitokea jambo linalowalazimisha watu wafikiri kwa namna tofauti kuhusu suala la HIV/AIDS,watu wanabaki wameganda katika mtazamo uleule,mawazo mgando.Hawawezi kujiuliza kwa namna nyingine.

Deception is always right aliposema kwamba HIV/AIDS is fake,ukweli unajionesha wazi na utaendelea kujionesha hata kama watu hawataki kuona.

Sasa huyo ni mtoto,lakini ikitokea baba positive lakini mama negative and vice versa,watasema mmoja amepata maambukizi nje ya ndoa,hawajiulizi kwanini mmoja hajamwakiza mwenza,na hata wakijiuliza hawatakaribia jawabu sahihi,watajiongoza kwenye njia ileile ya kufikiri waliyotengenezewa na wamiliki wa mradi wa HIV/AIDS.

"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

USHAURI KWA MLETA MADA:Usikubali mtoto apewe ARVs,tibu matatizo yake halisi,mpe chakula bora,mpe maji safi na salama.Hakika atapona na atakuwa na afya njema kabisa,hataugua huo upuuzi uitwao HIV/AIDS.
 
Naona unaanza kuelewa taratibu ukweli,sasa huyu mleta mada kaamua kuja mwenyewe kukujuza,ukienda mitaani na kwenye vituo vya afya kufanya uchunguzi binafsi haya ndio matukio yaliyojaa huko,watu hawajui kwakua hawafuatili.
mkuu "" kumbe upo "" longtime no see aiseee
 
Inawezekana kabisa ameambukizwa kwa njia sindano. Na hasa hospital ulizowahi kumpeleka siku za nyuma au mitaani lakini pia kwa kuambukizwa kupitia damu za wengine zenye virusi. Kuna watoto wengi wameambukizwa bila hatia kwa uzembe wa wafanyakazi wa hospital pia.
 
Ukimwi binafsi sina IMANI nao...

Ila ndio hivyo.. Tumezaliwa tumekuta jina UKIMWI inapaswa Tuamini tu


Kuhusu kaupataje.. Hilo si swali la msingi. . Ukizingatia hata wewe Binafsi ulivyokuwa unasoma kuna ku share vitu vya ncha kali kama vile viwembe vya kuchongea pencil .. Vifaa kama BIKARI katika compasi..

Unakuta wtoto wanacheza mmoja kaumia unakuta wanamsaidia mwenzao bila protective gloves

Saluni.. Za mtaanii hizi. . Unakuta watoto zaid ya sita wote wananyoa na wananyoa VIPARA. . SO mmoj akiwa na jerah tu basi wadudu wanasambaa

Pole sana .. Usife Moyo. .
 
Ndugu pole kwa matatizo inawezekana kapata shule matumizi ya wembe kuchongolea pensil. Nikikumbuka nilipokuwa Nina soma kuanzimana wembe kuchongolea pensil Nina jikata.

Wembe naweka kwenye mifuko ya surual Mama amwewah kujikata wembe niliyoweka kwenye surual wakati ananifuria nguo. Ni Mungu pekee anayetuokoa
Ndugu hayo maojiano yenu na mtoto mlikuwa na wataalumu wa ushauri na saa. Kuwachukua family nzima kwenda kupima kuna itajika ushauri na saa.
 
Mkuu hapa nimestuka kidogo,,ki vp tena??
usistuke mkuu, asilimia kubwa ya hizi saloon zetu hazina usalama wa kiafya, mtu akimaliza kunyolewa vifaa havisafishwi ipasavyo akinyolewa mtu ni rahisi kuwaambukiza watakaonyolewa baada yake endapo mashine ilimkwangua wakati wa kutinda (hapa huwa vinyozi wanasogeza viwembe mbele ili watengeneze ile patern ya nywele vizuri, hivo akifanya alignment mbaya ya kiwembe ni rahisi kumchuna mteja na kusababisha damu ambayo inarahisisha kumuambukiza mtu mwingine)
Watu tunatilia maanani unsafe sex tunasahau hili. Ni muhimu elimu itolewe kwa wamiliki wa saloon ili kupunguza/kutokomeza kabisa maambukizi yanayosababishwa na uzembe.

Soma hii article hapa Potential risk of HIV transmission in barbering practice among professional barbers in Ibadan, Nigeria

 
pole sana ndugu yangu, my heart bleeds for your child! Ninaomba Mungu awape utulivu na njia ya kukabiliana na jambo hili la kuumiza sana. Naamini mtapata msaada wa jinsi ya kumtunza na kuishi nae ili afya yake irudi na kua nzuri. Pia niwaombe muwe karibu na Mungu na yeye mumfundishe kuwa karibu na Mungu...I strongy believe mkimtegemea Mungu katika hili atawapa ushuhuda wa kipekee katika maisha yenu.
 
Pole kwa mstuko mkuu ila kila jambo linalokuja huwa Lima sababu cha msingi tupa hofu kule fuata ushauri wa wanajamii.....mtoto ale vizuri ila asubuhi MPE kijiko cha asali ya nyuki wadogo pamoja na kijiko cha habbatsoda ndani ya miezi sits kapime ila mbogamboga sana matunda na maji nyama punguza kabisa spate angalau Mara mbili kwa mwezi utashangaa ndani ya mda mfupi yupo fresh.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom