Unanikumbusha wale watoto waliolala usingizi kwenye mdahalo wa katiba pale dsm miezi michache iliyopita!
![]()
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo wakati wa ukombozi ni sasa :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
The boss wewe mkomavu kweli, mijitu mingine hata ayafikiri mtoto mdogo chadema/siasa yamuhusu nini nami nakuunga mkono PUMBAFU KABISA .urudi kijini wewe
ambae maisha yamekufanya uwe na chuki na kila mtu
anaepingana na wewe
wenzio maisha sio magumu kiasi hiko
hatuhitaji kuwafanya watoto wetu wawe exstremist na siasa za kipumbavu
watoto wana enjoy utoto wao
Sasa teacher unataka kuniambia kameshakuwa kakubwa hivi??
![]()
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo wakati wa ukombozi ni sasa :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Ni picha tu jamani! Mbona povu linawatoka na siasa zinaanza kuisurubu picha hebu acheni uzuzu!
Kweli unasoma halafu unavunjika mbavu?????Si mwanangu wewe kinakuuma nini???:becky::majani7:
ni ujinga mtupu....
mtoto anatakiwa akue bila influence ambazo zitamfanya
asiwe huru kuamua mambo yake mwenyewe
kuwahusisha watoto na siasa ni upumbavu mno
![]()
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo wakati wa ukombozi ni sasa :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Ndio maana nakupenda MR! Anaeona wivu au asiependa mwanao kipenziiii anachofanya kwenye picha hii AJINYONGE!
Huyu mtoto ni lazima atakuwa jeuri; mwenye matusi; mwizi; mtongozaji; mnyang'anya wake za watu; gaidi; na mwishowe atawekwa lupango na kusafirishwa na punda siyo ndege.
Hii kwenye nchi za huku ni child abuse.
Yaani wewe unachanganya haki za msingi za watoto na matakwa ya mtu binafsi. Kuna wazazi wanauza gongo na wanashirikisha watoto wao kwenye hilo kwahiyo waachwe? Hakuna kitu ninachosikitika kama kule kuimbishwa nyimbo za kuisifu CCM na pia Mwenyekiti wa nini sijui. Sikustahili kuyaweka madude yale kichwani. Pia yale maswali, nani mkuu wa mkoa wako? Ni upuuzi mtupu. Hayana maana kwa watoto. Hii mentality ya kuanza kufundishana siasa kwa watoto ni ya ajabu saana. Yaani vitu vyote vya kumjengea uwezo hakuna zaidi ya siasa? Michezo yote hakuna?Which means tusiwapeleke shule hadi watakapokua ili waamue wenyewe kwenda shule au la? Kama una watoto na huwafundishi kile unachoamini kuwa ni bora kwa maisha yao (hata kama kwa wengine ni upupu) basi nawaonea huruma watoto wako!
Kama ulikuwa hujui basi ujue kuwa wazazi wanatakiwa kumlea mtoto au watoto wao kwenye misingi ambayo wazazi hao wanaiamini. On the other hand, naamini unajua hayo ILA UNGEPENDA watu wafundishe watoto wao UNAYOTAKA WEWE kuyasikia. POLE!
Nchi nyingine kuna mabunge ya vijana na chache yapo ya watoto. Kule hawajadili siasa za vyama kama ulivyo ulimbukeni wa Kitanzania. Saana ni unification na kukuza active citizenship na kuwapa exposure mbalimbali kwenye children rights, media nk.Hehehe asante watu wanataka nimeza kisa kabeba bendera sasa na wale watoto wanaobebeshwa mandoo ya maji au kufanyishwa mikazi hapo sijui nisahihi lolz!!!