Mwanangu kipenziiiii

Maria Roza

JF-Expert Member
Apr 1, 2009
6,797
1,567
2whnqf8.jpg

Mwana umleavyo ndivyo akuavyo wakati wa ukombozi ni sasa :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
 
ni ujinga mtupu....

mtoto anatakiwa akue bila influence ambazo zitamfanya
asiwe huru kuamua mambo yake mwenyewe

kuwahusisha watoto na siasa ni upumbavu mno
 
chipukizi na makamanda watoto wa ccm ni nini?
Mwambie KIKWETE ajipeleke mwenyewe mahakamani kwa kumpeleka mtoto wake wa miaka nane kugombea ukamanda wa chipukizi wa CC taifa!!!

Pumbafu kabisa!!!
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu kama nijutiavyo siku zangu za chama cha jenga nchi. Kwanini tusimwache aamue. Ikitokea CDM ikamomonyoka, inamaana na confidence ya mtoto inaondoka. Yaani lolote litakalofanywa na CDM, dogo atahusika. Kwanini tusimwache mtoto awe mtoto? Huko shuleni kwake kuna walimu CCM, mtaani nk.
Yaani matatizo yetu ya rushwa na mifumo ya hovyo sasa hivi tunaanza kuwarithisha watoto. CCM wanafanya ndio, lakini je tunastahili kuiga?
 
hata ccm wakijisaidia hadharani
basi na nyinyi mna haki ya kufanya hivyo?????

wewe ndo pumbavu kubwa kabisa
ni wapi nimesema chipukizi wa ccm ni sawa????????
au wapi nilipokuambia mimi ni mwana ccm???????

two wrongs do not make it right

pumbavu wewe
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu kama nijutiavyo siku zangu za chama cha jenga nchi. Kwanini tusimwache aamue. Ikitokea CDM ikamomonyoka, inamaana na confidence ya mtoto inaondoka. Yaani lolote litakalofanywa na CDM, dogo atahusika. Kwanini tusimwache mtoto awe mtoto? Huko shuleni kwake kuna walimu CCM, mtaani nk.
Yaani matatizo yetu ya rushwa na mifumo ya hovyo sasa hivi tunaanza kuwarithisha watoto. CCM wanafanya ndio, lakini je tunastahili kuiga?

kawaambie ccm waache kwanza!
kama nina amini kuwa ccm ni chama dhalimu, nitawafundisha hata vitukuu vyangu kuwa ccm ni dhalimu na haifai, na kama naamini cdm ni safi, i will tell my people kwa maneno, kwa vitendo na kutimiza wajibu kuwa hapa ndipo.

jinyonge kama vipi!
 
Back
Top Bottom