Fanya kweli basi wakulambe ban baba labla šInasikitisha sana mama labla š
Tuanze kutukanana mama labla, maybe ntapewa baFanya kweli basi wakulambe ban baba labla š
Mimi hii issue ilishanishinda,nilisha kula ban ya miezi 3 ila sikufungua ID nyingine,
Kufungua ID nyingine hua naona kama vile naisaliti ID yangu au nachepuka,
Hata uwe na ID 10 ila kuna ladha fulani utaikosa tu kutoka kwenye ID yako ya kitambo.
šššAaah unakuta mtu ana I'd 12 na zote zipo active
Kosa la kutukana ni ban ya siku ngapi kwanza?Tuanze kutukanana mama labla, maybe ntapewa ba
Hata cjui, em tujaribu kutukanana ili tujue šKosa la kutukana ni ban ya siku ngapi kwanza?
Fala wewe ššHata cjui, em tujaribu kutukanana ili tujue š
Nna muda mrefu sijapigwa ban mpaka nmemis ban
Au nasema uongo mama labla?Fala wewe šš
Au nasema uongo mama labla?
Kwani muda huu Bia ipo kichwani tayari?Kwani bwashee mpaka sasa naweza pata ban?š
Yap hapo ban inakuwa rahisi, haina kona kona š„Au nimtukane mod?
ššYap hapo ban inakuwa rahisi, haina kona kona š„
Hivi mnafanya fanya aje hadi mnakuwa na ban?
Bila sababu ? sijawahi kuweza.Mtag mod yoyote mtandike tusi