šMimi ? Achana na mimi kabisa bwashee , wewe jiuze ban yangu imekuaje š
Unatumiwa msg Au sioukipigwa ban huwa wanakutumia msg
nadhani hivyo
kwani leo kuna nini??
kula monde jombi acha ushamba šš š kaa kiaskari bwashee
Inasikitisha sana mama labla šBaba labla hebu niache basi šš
Bwashee umepigwa na visungura vyakoš
H orodha sijawah kuikubali wala kuielewa, hapa kuna upigaji hasa hapo kwenye guestItakuwa kwenye hao guests na hawa ndugu zetu wamo wanakula kwa macho tu š
View attachment 3632737
Inasikitisha sana bwashe šBwashee acha unafkiš
Hivi unajuaje humu unapigwa ban bila sababu za msingi,? Mods mnaonaje mkishea sababu ya mdau kupigwa ban jukwaani?š¤
Mnapiga ban nyepesi mno bila kutoa sababu na maelezo yakinifu š¤
Bwashee hali ya hewa sasa hivi imechafuka hapa JF,Bwashee , wewe ni mwanangu enzi na enzi ila kwa pombe najimudu kinoma