Ungelamba ban ya 3 weeks dadeki zako 😁Sio kitu ya kusema hapa fala wewe
Siingilii kesi za kifamilia mkuu,
Kinyama 😂Ila kuna vitu vinachekesha sana 😁
Umetisha sanaa mkuuSiingilii kesi za kifamilia mkuu,
Pambana na hali yako kijana.
Bwashee umepigwa na visungura vyako😜What's going on here....🤔View attachment 3632738
Hapana natania tu,
Sio kweli,
Bwashee yeye anakula bia tu,halafu Seran anakula yale mchungu.
unakuta mtu anafanya kulog in na kulog out😁Kinyama 😂
Kuna muda inabidi kujiongeza na IDs mbili tatu 😂unakuta mtu anafanya kulog in na kulog out😁
Aaah unakuta mtu ana I'd 12 na zote zipo activeKuna muda inabidi kujiongeza na IDs mbili tatu 😂
ukipigwa ban huwa wanakutumia msgHivi unajuaje humu unapigwa ban bila sababu za msingi,? Mods mnaonaje mkishea sababu ya mdau kupigwa ban jukwaani?🤔
Mnapiga ban nyepesi mno bila kutoa sababu na maelezo yakinifu 🤔
Mimi hii issue ilishanishinda,nilisha kula ban ya miezi 3 ila sikufungua ID nyingine,Kuna muda inabidi kujiongeza na IDs mbili tatu 😂