Mwanangu kindege🤔

Mwanangu kindege🤔

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
55,902
Reaction score
159,383
Hivi unajuaje humu unapigwa ban bila sababu za msingi,? Mods mnaonaje mkishea sababu ya mdau kupigwa ban jukwaani?🤔


Mnapiga ban nyepesi mno bila kutoa sababu na maelezo yakinifu 🤔
 
Tahadhari;mod alieko kazini muda huu hana masihara kbsa ukijitekenya tu UNAKULA BAN

kwahio members tunaomba muwe waadilifu na wakarimu bila kutweza utu wa wengine , kuvunja privacy ya wengine,matusi ya hovyo...nk
 
Back
Top Bottom