Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,870
- 37,746
Basi wana stahili aisee, bila sababu kusababisha tafrani sio powaUmeuliza watu wanafanyaje hadi wanakuwa banned
Nimekupa mbinu mojawapo
Basi wana stahili aisee, bila sababu kusababisha tafrani sio powaUmeuliza watu wanafanyaje hadi wanakuwa banned
Nimekupa mbinu mojawapo
Tangu lini umeanza kupenda fujo weye??
Watafungia na hii usage menoNimekuja kwa aidii nyingine. Wala sikomoleki, sitishiki, siambiliki, sitetereki, sikimbiliki, kubababeki!
Naomba nisiogopeke, bali nipendeke, niheshimike, watoto wazuri wakiniona wadeke, Mimi sina makeke, Mimi siyo punda sipigi mateke, nikienda bukoba napikiwa matoke.
Kwa nini unasema hivyo 😁Watafungia na hii usage meno
Si unaleta dharauKwa nini unasema hivyo 😁
Naletaje dharau mkuu wangu 🤔Si unaleta dharau
Si unawatambiaNaletaje dharau mkuu wangu 🤔
Nimekuona kwenye chama letu iran😂Nimekuja kwa aidii nyingine. Wala sikomoleki, sitishiki, siambiliki, sitetereki, sikimbiliki, kubababeki!
Naomba nisiogopeke, bali nipendeke, niheshimike, watoto wazuri wakiniona wadeke, Mimi sina makeke, Mimi siyo punda sipigi mateke, nikienda bukoba napikiwa matoke.
Ninawatambia nani?Si unawatambia
Sasa je wenyewe wakisikia
Au wakiambiwa
Hatua hawatochukua?
Mimi na Iran ni kufa na kuzikana.Nimekuona kwenye chama letu iran😂
Sawa basi tumalizeNinawatambia nani?
Watasikia kwa nani?
Wataambiwa na nani?
Watachuka hatua gani?
Kwa kosa gani?
Kwani mumeanza kupigana tenaMimi na Iran ni kufa na kuzikana.
Pia sauti tuzipaze,Sawa basi tumalize
Tusifike mpaka Chalinze
Au kwa kina Mzize
Siyo kupigana, tunapiga!Kwani mumeanza kupigana tena
Hakika tuanzePia sauti tuzipaze,
Multiple IDs tukataze,
Hii issue tusiipuuze.
Marekani anapigwa?Siyo kupigana, tunapiga!