Basi we mstaarabu ban haifai kukupata kabisa mkuuBila sababu siwezi, na hata kukiwa na sababu bado siwezi kugombana na mtu.
Sana mkuu na huwa sinafikii mtu nikisema ni overBwashee hivi unaona nina akili kweli au ni unafki tu?
Usishushe bwashee acha kabisa saivi hata kutag member ni riskTulia bwashee, kuna uzi mkali nilikua niushushe ila nilivyoona wanangu wamekula umeme nika vunga
Umeuliza watu wanafanyaje hadi wanakuwa bannedBila sababu ? sijawahi kuweza.
Daaaaah yani jf imepoa sana ndo mana hata kina Mshana siku hizi hawapostHapana bila wanangu huu uzi sitoboi
Anzisha mkuu dakika chache tu nachilTutembelee wapi ambapo kuna uzi uliochangamka
Naomba unitag kwenye huo uzi au linkBwashee uzi ni wa de gunner , apumzike kwa amani champion