As it should!Yeah hizo sababu zinabakia Siri Sirini
Unaweza kukuta yeye ndio Seran mwenywe.Sijakuelewa braza
Seran hajapewa sababu ama sababu yake ya ban ilitakiwa kuwekwa jukwaani?
Unaelekea kuzuri Repeat again buddy 😁😁Jitambue kiazi wewe ,unafikiri mimi ni fala?
😁😁😁Kipenzi changu kapigwa ban 🤨🤨
Acha angalau nitongoze kwa uhuru japo roho inaniuma
Kwanini huamini? Kuna sehemu umeharibu wamekuacha? 🤣🤣Siamini kama mpaka sasa hivi nipo huru!
Kwahiyo sasa hivi hapa JF tumebaki watakatifu tu sio?
Bwashee acha mimi nijipe likizo ya JF mpaka huu upepo mbaya upite,Sio kwel Bwashee
Unaweza kukuta yeye ndio Seran mwenywe.
😀 😀
Una akiliKaa kiaskari Bwashee 😅
Hapana natania tu,Kwa hapa JF inawezekana 700% 😁
Ila kuna vitu vinachekesha sana 😁Kwa hapa JF inawezekana 700% 😁