Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,572
- 22,441
Halafu hata wenye nia ya kukudhamini, wakisikia 'kubaka', basi hupotezea.Kila mtu anatakiwa kujua ya kwamba kutembea na mwanafunzi kisheria ni ubakaji na sasa hivi nimeona mahakama zetu hazina mzahaa hata kidogo kwenye kosa hili ni watu wanafungwa miaka 30 fasta sana halafu kesi za hii issue zinachukua muda mfupi sana. Mimi namwogopa mwanafunzi kuliko nyoka!
Hizo kesi ni kichefuchefu sana, zina aibu fulani kama mtu aliyekaa mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app