Lakini huwezi kuwasikia wanasema watu wanaopotea saizi wanapotezwa na Rais Samia lakini wote waliopotea kipindi ya JPM wote alikuwa anawapoteza yeye! This is high level of hypocrisy!Kuua hizo ni propaganda sababu muda wote alikuwa on spotlight. Alimuua nani? Mtu ambaye muda wote yupo ziarani na ofisini tu. Kama waliua ni subordinates wake labda. Vya kutumbua wote tulishuhudia iwe kwa uonevu au kwa haki ila wote tuliona ila vya kuua siafikiani navyo. Ni propaganda kama zilizotumika kumuua Gadafi Libya.