TANZIA Mwanamuziki Tina Turner afariki dunia akiwa na miaka 83, alikuwa na Saratani ya Utumbo

Niliangalia movie inayohusu maisha yake zamani sn. Ameigiza Angela Basset. Nafkiri inaitwa What love got to do with it. Inaskitisha mno
Kazaliwa kwenye umasikini, kapitia ubaguzi wa rangi, kapigwa sana na mume wake Ike Turner, kapigania sana career yake, mpaka kawa superstar.

Kuna mshua mmoja alikuwa anakuja home, ilikuwa humwambii kitu kuhusu Tina Turner.
 
Back
Top Bottom