Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

"A woman’s capacity to bond monogamously is inversely proportionate to the number of sexual partners she’s experienced prior to monogamy. Even one prior lover (or even unrequited obsession of hers) can be Alpha enough to upset that bonded monogamous balance." - Book 3, RM
Duu mkuu iweke basi kinamba tupate formula kamili...🤣🤣🤣🤣
 
Wakuu,

Suala la wanaume kupigiwa wake zao limetia fora sana.

Case zimekua nyingi kiasi cha kuwatisha hata wale ambao hawajaoa kuogopa kuoa.

Wapo wanaume wanapiga show ya maana kwa wake zao, wanatoa matumizi yote kwa kwa wake zao.. Yaani wanawapa wake zao everything lakini bado wanapigiwa wake zao.

Je kuna mbinu ya kuzuia mwanamume asipigiwe mkewe kabisa?

Tiririka tujifunze
Mwanamke ni kiumbe anayetawaliwa na hisia. Wewe chapa mkeo kila aina ya style, mpe mamilioni au hata bilioni sawa tu ni jukumu lako as mume. Lakini siku akionana na mwanamme anayemrusha roho au kumpandisha damu kichwani haraka....tambua atagawa tu uroda si kwa sababu hakupendi wewe bali hisia zake zinamtuma ashughulikiwe na yule aliyevutiwa naye. Kupigiwa mwanamke nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana, usijipe presha, Usikute hata wewe mwenyewe baba uliye naye si wako una baba yako halali huko nje ila Mama yako anakuficha tu.
 
Binafsi huwa sina muda kabisa wa kumchunga mwanamke,
Sababu mimi pia nje ya ndoa natoka na huduma natoa kwa kwa hawa njia panda ,,
Sasa mke wangu nilishamweleza nakupenda ndio maana uko ndani,sasa ukiamua kufanya yako jitahidi nisijue maana nikijua nakuacha,,
Lakini pia huwa najiaminisha kuwa kama mimi nakula vilivyo huru kuliwa na yeyote na bado naosha rungu naenda kula kwangu,,basi nikifikiri hilo tu huwa namfutia makosa yake yote na maisha yanaendelea,,wanasena kizuri kula na nduguyo
 
Cheni ya bandia kwa noti bandia! Ngoma droo!

Hata mimi naona ni sawa kabisa malaya kuoa au kuolewa na malaya mwenzie!

Actually Ndiyo kanuni kwamba mtu hupewa wa kufanana naye!

Fedheha na huruma huja pale mmojawapo kuwa mwaminifu halafu mwenzio kutumika nje ya agano la ndoa!
 
Wakuu,

Suala la wanaume kupigiwa wake zao limetia fora sana.

Case zimekua nyingi kiasi cha kuwatisha hata wale ambao hawajaoa kuogopa kuoa.

Wapo wanaume wanapiga show ya maana kwa wake zao, wanatoa matumizi yote kwa kwa wake zao.. Yaani wanawapa wake zao everything lakini bado wanapigiwa wake zao.

Je kuna mbinu ya kuzuia mwanamume asipigiwe mkewe kabisa?

Tiririka tujifunze
How does it start mume kupigwa na mkewe?

Isn't that nyie ni wawili tofauti na mkishindwana inabidi mpeane mapumziko ya muda mfupi, muda wa kati ama muachane kabisa?
 
Zamani nilikuwa siamini kabisa kama mke wa mtu anaweza kuwa na Mwanaume mwingine!

Mpaka pale nilipokutana nao maeneo ya kazi Wengine hawana hiyana anakwambia kabisa anaye hawara yake wa kudumu ukiachilia mbali wa mpito !

Na anakwambia kabisa mwingine yeye hata bure sawa ila mwingine anakwambia siliwi kwa laki mimi!

Yani kuna siri kubwa tukiziandika humu wengine mtaanza kuwashika wake zenu ugoni!
Funguka hili ni jukwaa la uwazi na ukweli 2021 has just loaded with a single bar
 
Nawakumbusha Watanzania Wote Popote Walipo Iwe Una Chama Ama Huna Ujue Wazi Kuwa Leo Hii 01 January, 2021
Ndiyo Miaka Mitano Imeanza Ya Uongozi Wa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Kwanza, usioe mwanamke alitekeketwa. Wananguvu sana sana. Mwanamke wa
 
utampa pesa, atagongwa na mwenye mb oo kubwa
utampa mboo, atagongwa na mwenye pesa
utampa mb oo kubwa na pesa, atagongwa na msafisha kucha
Siku zingine utampa mb o o kubwa atagongwa na kiba100 ili tu ajue ladha yao huwa ikoje.
Utatafuta six pack mwisho was siku atagongwa na mwenye kitambi ili aone shoo zao huwa zikoje
Haya mambo haya jamaniiiii
 
Hamna cha kufanya mkuu, muhim usimfatilie sana mke wako.
 
Mtengeneze "kila mwanaume anaejaribu haoni kitu, au afukuzwe na nyoka "
 
Back
Top Bottom