Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,409
- Thread starter
- #21
Amen mkuuLabda vipi kuhusu mwanaume,yeye iweje ili asiweze kuchepuka.maana hilo tatizo siyo la wanawake tuu,hata wanaume vicheche wapo.
Ni hulka inayoambatana na vifungo flan hiv. so inakuwa kama kiu ya sigara ukishaanza kuvuta kuacha ni taabu.Tuendelee kumuomba mwenyezi Mungu aingilie kati kulinda ndoa


