Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

ukitataka usipigiwe inabidi uwe kama ifuatavyo

1-bodaboda
2-msusi
3-muuza bucha
4-uwe na hela tena si za mawazo
5-uwe mcheshi
6-uwe smart na handsome pia
7-usiwe bize saana
8-uwe mtoaji
9-uwe fundi magari
10-uwe muuza genge
11-uwe muuza chipsi

NI HAYO TU WALAU KWA UCHACHE
 
Tunakosea kwenye kutafuta wengi wanao oa wanaangalia shape sura chura rangi bila kujua kwamba watu Kama hao wana uhitaji mkubwa sana kwa mabaharia hasa mijini
 
Wakuu,

Suala la wanaume kupigiwa wake zao limetia fora sana.

Case zimekua nyingi kiasi cha kuwatisha hata wale ambao hawajaoa kuogopa kuoa.

Wapo wanaume wanapiga show ya maana kwa wake zao, wanatoa matumizi yote kwa kwa wake zao.. Yaani wanawapa wake zao everything lakini bado wanapigiwa wake zao.

Je kuna mbinu ya kuzuia mwanamume asipigiwe mkewe kabisa?

Tiririka tujifunze
Ipo namna mbali mbali mmojawapo ni ya kuua, na hii ya kuua ni real kuna episode ntashare na members humu. Kama unahitaji familia na kama ni mtu wa revenge katika maisha unaua tu haijalishi lini ila wewe ukipanga kisasi cha kuua unaua tu, unaemjua na usiemjue unaua wote. It's tricky but inataka sacrifice.
 
Tunakosea kwenye kutafuta wengi wanao oa wanaangalia shape sura chura rangi bila kujua kwamba watu Kama hao wana uhitaji mkubwa sana kwa mabaharia hasa mijini
Usailiti wa kutombewa mke huitaji kujilaumu kamwe. Watu wanafanya wakiwa na akili timamu.
 
Umeongea kwa uchungu mno... Hili Jambo linaumiza Sana kwa mtendewa... Huwa najiuliza Mpaka umeamua kuwa na mtu huko nje Unatafuta Nini??? Mungu atusaidie Sana Sana.... Jamii Yetu inapoelekea Ni kubaya Sana... Lakini Kwa upande wangu ninasema Wanaume tuna Jambo la kujibu... Kwani kwa asili ya maumbile Mwanamke Ni kiumbe Dhaifu Sana Bila ushawishi wa mwanaume Ni ngumu Sana kutenda Uzinzi kwani hata maumbile ya mwanaume Ni Mpaka apate hamu au msisimko ndipo yasimame imara... Ndiyo maana Ni vigumu mwanaume kubakwa na Mwanamke...
Hali hiyo huanzia mbali sana!

Yani inasikitisha kwenye jamii kuona mke wa mtu au mume wa mtu kuwa na mahusiano ya kingono na mtu mwingine!

Yani inatia huruma sana!

Yani kuna wanawake wana wanaume michepuko ya kudumu kama ni sehemu ya kazi jamii husika inajua!

Wacha wale wa day workers wa night free!

Unakuta mke wa mtu au mume wa mtu anenda Dubai kula bata na hawara yake!

Mimi huwa nawaulizaga huwa mnawaagaje waume zenu au wake zenu?

Aisee inasikitisha sana !

Unamfanya mumeo au mkeo adhaurike na umalaya wako jamani!

Tujitafakali tuache mabaya!
 
Haya yote nimeyafanya kwa mchumba wangu
Ila niliposhika simu yake sikuamini
So sio guarantee,Kikubwa tu kama alivoandika mdau hapo juu ni kutafuta mtu ambae hana hulka ya umalaya
Kweli kabisa, na nafikiri wapo wachache. Kumpata anayejiheshimu ni ngumu.
Malezi na maadili mema ni bidhaa adimu.
Vijana wengi huwa wanashindwa kuamini wakikutana na realities za maisha.
Tamaa za fedha na vyeo maofisini zinaponza wengi.
 
Hao walio oa bikra ndo wanachapiwa hatari. Wanawake hawajawai kueleweka kaka.
Au nasema uongo ndugu zangu??
"A woman’s capacity to bond monogamously is inversely proportionate to the number of sexual partners she’s experienced prior to monogamy. Even one prior lover (or even unrequited obsession of hers) can be Alpha enough to upset that bonded monogamous balance." - Book 3, RM
 
Wakuu,

Suala la wanaume kupigiwa wake zao limetia fora sana.

Case zimekua nyingi kiasi cha kuwatisha hata wale ambao hawajaoa kuogopa kuoa.

Wapo wanaume wanapiga show ya maana kwa wake zao, wanatoa matumizi yote kwa kwa wake zao.. Yaani wanawapa wake zao everything lakini bado wanapigiwa wake zao.

Je kuna mbinu ya kuzuia mwanamume asipigiwe mkewe kabisa?

Tiririka tujifunze
Bwana asipolinda mji alindae akesha bure, ndoa yako ikabidhi mikononi mwa Bwana hutopigiwa mke wako.... Japo wanasema et mwanamke ni kam mlango lazima ugongewe haipo hiyo.
 
Wakuu,

Suala la wanaume kupigiwa wake zao limetia fora sana.

Case zimekua nyingi kiasi cha kuwatisha hata wale ambao hawajaoa kuogopa kuoa.

Wapo wanaume wanapiga show ya maana kwa wake zao, wanatoa matumizi yote kwa kwa wake zao.. Yaani wanawapa wake zao everything lakini bado wanapigiwa wake zao.

Je kuna mbinu ya kuzuia mwanamume asipigiwe mkewe kabisa?

Tiririka tujifunze
Tatizo hua linakuja , kila siku kula ubwabwa na maharagwe pasipo kubadilisha
 
Ajitahidi kadri awezavyo asioe malaya.

Asitafute mwanamke ambaye yupo perfect ila atafute mwanamke ambaye umalaya sio asili yake...

Kwenye process ya kutafuta huyo mwanamke atakutana na viburi wachoyo wachafu wakorofi lakini yeye achague wenyewe madhaifu mengine na sio malaya....

Hili ndio jibu sahihi
 
Back
Top Bottom