Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

Nadhani hainaga formula mkuu! Chamsingi ni mwanamke mwenyewe awe anajitambua kwani ndiye mwenye maamuzi ya kumkubalia mtu mwingine ama lah! Ajijue yeye ni mke wa mtu why ahangaike na watu wengine?

Ila pia Mume ujue majukumu yako mtunze mkeo asikose chochote kadri ya uwezo wenu! Ili hata akitaka kuchepuka akukumbuke basi tu ahairishe.
 
Nimeelewa mkuu
 
Unajua hawa wake zetu hawaelewekagi kabisa. unaweza kumnunulia simu nzuri sana na akakuchukulia poa. Ila akaamua kumzawadia tunda mwanaume mwingine aliyemnunulia vocha
 
Inategemea na ulivyo.
Binafsi wangu hawezi hata kuwaza kuchepuka
Kwa sababu ananijua vyema na kingine ni wewe mwanaume kutengeneza mazingira mazuri ya mwanamke kuishi kiasi ya yeye akifikiri kuchepuka anawaza jinsi atakavyo haribu uhusiano wenu na kama mpo na watoto pia.

Mwanamke anahitaji upendo sana.
Anahitaji ukorofi sana
Anahitaji kichapo kwa kiasi
Anahitaji azibuliwe sikio la tatu.

Na usipende kumpa kila kitu unajidanganya .
Msimamie kwa kila jambo,mfanye mtoto kwako
Muulize kila kitu

Na ukitaka atulie zaidi kuwa na kipindi cha umbea na mastory either ya kazini or mtaani.

Sometimes unambadilikia kisawasawa mpaka anawaza leo naweza chinjwa huku ndani.

Ni mengine mengi.
Kweli mkuu
 
Hata vitabu vya dini vimeshindwa kuwaelewa wanawake, vikatushauri tu ishi nao kwa akili.
Wanawake ni watu ambao wanabeba siri nyingi sana kwenye mioyo yao.
 
"A woman’s capacity to bond monogamously is inversely proportionate to the number of sexual partners she’s experienced prior to monogamy. Even one prior lover (or even unrequited obsession of hers) can be Alpha enough to upset that bonded monogamous balance." - Book 3, RM
Kaka,Nina shida na hicho kitabu PM
 
Badala ya kujadili tawi mngajadili mzizi ambao ni UZINZI
 
Unajua hawa wake zetu hawaelewekagi kabisa. unaweza kumnunulia simu nzuri sana na akakuchukulia poa. Ila akaamua kumzawadia tunda mwanaume mwingine aliyemnunulia vocha
Yaani mwanamke unamnunulia gari, anaona poa ila anampa tunda fundi aliyemrekebishia gari ilipopata hitilafu.

Unampa hela ya nyama kilo, anachukulia poa, ila anampa tunda muuza bucha aliyemwongeza vinyango viwili.

Unamnunulia simu ya bei ghali, anachukulia poa, ila anampa tunda aliyemnunulia vocha.

Yaani hawaeleweki
 
Kaka,Nina shida na hicho kitabu PM
 
Thanks
 
Back
Top Bottom