Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

Mwanamume afanyeje asipigiwe mkewe?

Mpende sana

Kuwa muwazi kwake

Mfanye rafiki yako wa ukweli

Mpe muda wako

Na usimsaliti
vingine vyote ivyo naweza kufanya isipokuwa hapo kwenye kumpenda sana hapo niache unafiki sijajaliwa na mungu kupenda kwa kweli, naeza ishi nae vizuri tu akazani nimekufa nimeoza kumbe moyoni yuko 20%
 
yani mimi kazini kusipokua na taarifa ya ujio ya ziara wa viongozi hawa saiv na pia biashara zangu nje ya kazi zinaenda vizuri,yan nakua na furaha sana kiasi kwamba hata mwanamke wangu nikiskia kagongwa sishtuki yan yeye agongwe tu anavyotaka mradi uchumi wangu unazidi kupanda, yeye ni nani hadi nishindwe kufanya kazi zangu kisa kaliwa wakati mwili ni wake na uchi ni wake.

Incase nikajua kaliwa wala sigombani napiga chini.
Sijawahi ingia mzima mzima kwa mwanamke.
 
Wakuu,

Suala la wanaume kupigiwa wake zao limetia fora sana.

Case zimekua nyingi kiasi cha kuwatisha hata wale ambao hawajaoa kuogopa kuoa.

Wapo wanaume wanapiga show ya maana kwa wake zao, wanatoa matumizi yote kwa kwa wake zao.. Yaani wanawapa wake zao everything lakini bado wanapigiwa wake zao.

Je kuna mbinu ya kuzuia mwanamume asipigiwe mkewe kabisa?

Tiririka tujifunze
Simple, hakikisha unaoa ukiwa na umri zaidi ya 35 na mke wako si chini ya 30 years
 
Hali hiyo huanzia mbali sana!

Yani inasikitisha kwenye jamii kuona mke wa mtu au mume wa mtu kuwa na mahusiano ya kingono na mtu mwingine!

Yani inatia huruma sana!

Yani kuna wanawake wana wanaume michepuko ya kudumu kama ni sehemu ya kazi jamii husika inajua!

Wacha wale wa day workers wa night free!

Unakuta mke wa mtu au mume wa mtu anenda Dubai kula bata na hawara yake!

Mimi huwa nawaulizaga huwa mnawaagaje waume zenu au wake zenu?

Aisee inasikitisha sana !

Unamfanya mumeo au mkeo adhaurike na umalaya wako jamani!

Tujitafakali tuache mabaya!
 
Zamani nilikuwa siamini kabisa kama mke wa mtu anaweza kuwa na Mwanaume mwingine!

Mpaka pale nilipokutana nao maeneo ya kazi Wengine hawana hiyana anakwambia kabisa anaye hawara yake wa kudumu ukiachilia mbali wa mpito !

Na anakwambia kabisa mwingine yeye hata bure sawa ila mwingine anakwambia siliwi kwa laki mimi!

Yani kuna siri kubwa tukiziandika humu wengine mtaanza kuwashika wake zenu ugoni!
 
Back
Top Bottom