Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
Bora asikupe ijulikane moja ni mchoyo
Asinipe....
AU
Akinipa without conditions na manung'uniko!
Asinipe....
AU
Akinipa without conditions na manung'uniko!
Bora asikupe ijulikane moja ni mchoyo
wewe una miaka mingapi? mbona unayoyasema ya ajabu...nina wasiwasi na uelewa wako!!!
Smile kila wakati unaniwahi kutoa jibu.
Ila we dada jiulize tu:
Hasara yake hasara yako?
Kwa nini usiamue tu kumnyima?
Mi niko powa mpendwa..unajua best love is giving lakini tunashindwa kutambua when to give and why.
Mimi mpenzi wangu akinizawadia au akinipa chochote km zawadi au pesa kidogo huwa nafurahi sbb hata mimi sometime humpa pia naye hufurahi.
But sijawah kuweka hii kitu as a must kwamba ni mkataba lazima anipe na kwamba asiponipa basi hanipendi au ananitumia. Na i hate depending on somone, so i work hard to at least have of my own kuogopa kuwa ombaomba. Niweze kujipatia mahitaji yangu ya muhimu yote ili nikipewa, nisipopewa bado maisha yangu yataendelea vema
But in genuine problem where i need help sisiti kumwambia nina shida flani help me with this amount or whatever i may need, kama hana au hawezi kunisaidia kwa wakati huo pia siwezi chukia sbb sijahudumiwa, Na hata kama anazo ameninyima kwa makusudi bado ilikuwa hiyari yake kunipa, it is not a must.
Kumpa mwanamke hela kila siyo kipimo cha kuonyesha unampenda, kuna mengine meengi sana ndani yake.
Though mwanamume kumzawadia mwanamke anything hata cha gharama ndogo tu inafariji sana, It nature, ndivyo tulivyoumbwa....mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na wa ukweli unawiwa tu kumzawadia mkeo au mpenzio hata BIG G tu.
Yeye ana uwazi mpka apasuke???si ana komboraaa
wewe unataka haribu mahusiano ya rafiki yako kwa sababu ya utashi wako...umesema hapo juu kuwa mapenzi si pesa ni kujaliana sasa mbona maada yako inazungumzia pesa?...kama kujaliana kuna ubaya gani akimpigia? huyo rafiki yako kashawahi mpa shilingi ngapi huyo jamaa???
Habari ya siku nyingi?
Mkuu KOKUTONA Nakushauri usipende sana kuingia ndani ya jukwaa hili lenye mijadala ya BIASHARA ya NGONO! Tamaa si nzuri
rafiki yangu anaomba ushauri.
Ni msichana wa miaka 28 mzuri wa tabia, ana mvuto, wife material, mrembo, mchakarikaji wa maisha. Ana mchumba wake wa miaka miwili sasa. Mchumba huyo hamjali binti kwa lolote i mean saloon, sio vocha, nguo wala hajawahi kumnunulia hata zawadi yoyote zaidi ya kumpa mapenzi tu. Yaani pesa ya jamaa haitoki mpaka siku akitaka 'k' tu! Siku hiyo jamaa yuko tayari kulipia hotel na chakula kisha huyooo hata nauli ya kumrudisha binti nyumbani anajitegemea. Pia anasema mwanamme ana pesa na ni mfanyabiashara mkubwa tu. Shostito anamshangaa jamaa anamwambia anataka kumuoa na ana wivu wa kupindukia, na hataki ampe mtu yeyote 'k' anayoigegeda yeye. Shoga anaomba ushauri afanyeje? Je wanaume wote wako hivo?
Huduma........
Kama shostito ulikuwa hujui kuwa wanaume wa siku hizi ni wabahiri na wachoyo waliopindukia ndo ujue leo hawana lolote si chochote ni bor akuachana nao kabisa ujisepe kimpango wako kivyakovyako
U said it all...na wenye masikio na wasikie!!!
huyu ndio mwanaume kamili pesa inatoka kwa mgegedo tuu...leta papuchi ndio nahudumia. hayo mambo ya salon kwako mwenyewe.
alafu yeye mwenyewe kajirahisisha miaka miwili ndii leo anaomba ushauri...loh!!! kakaa kimgegedo ndio maana jamaa anamtreat hivyo.
Unapodai kama ulizikopesha au kama umeuza bidhaa ndio unakuwa umeonyesha tabia yako wewe ni nani... Ndio maana pesa yenyewe anapewa siku ya game tuu, hashangai??? Ukideserve lazima mwanaume awajibike trust me.
dah!umeona ee,,ntakaaje na hlo tu ambalo halihudumii,,lazma ajue kwamba kuna mwenzie anaemsaidia hayo majukumuTrust me ukiwa humuhudumii mchumba or girlfriend, itakula kwako lazima utakuwa na mwenza carering man! na kama hutumii kinga wenzako watakupandisha kwenye nguzo ya umeme. think twice baby