Mwanamme mbahili pia mchoyo

Mwanamme mbahili pia mchoyo

Hivi kwenye process ya uchumba bongo ndio iko hivo kwambaa umpeleke salon, umnunulie vocha, umvalishe!
kama ni zawadi sawa naweza kupa hata nguo ila hayo ya kwako kwa nini niyaingilie? hata after ndoa mwanamke vitu vidogodogo hivo anatakiwa ajitegemee bna, hii mentality ya mwanaume ndio mleta hela bongo ya kijinga sana, mbona mashori huku nje hawana ukuda wa kumtegemea mwanaume kiac hicho, ni mwanaume ataleta zawadi mwenyewe tu ila ati chupi unaenda kuomba hela, skirt moya unataka upewe hela, saa, hadi mswaki, dawa... potelea mbali nyie mabinti hamkutakiwa muishi maisha ya raha kihivo, fanyeni kazi pamoja na wanaume, nyie ndio kwanza moikula tunda la katikati wa kwwanza, oneni aibu mabinti wa kibongo, wategemezi mnooooo nyambafu
 
aiseeeeeeeeeeee kuna wanaume kiboko yao hafu kumbe anazo bora angekua hana, mimi roho ingeniumaa mpaka nife nisingeweza hata kuhadithia mtu
 
Rafiki yangu anaomba ushauri.
Ni msichana wa miaka 28 mzuri wa tabia, ana mvuto, wife material, mrembo, mchakarikaji wa maisha. Ana mchumba wake wa miaka miwili sasa. Mchumba huyo hamjali binti kwa lolote i mean Saloon, sio vocha, nguo wala hajawahi kumnunulia hata zawadi yoyote zaidi ya kumpa mapenzi tu. Yaani pesa ya jamaa haitoki mpaka siku akitaka 'K' tu! Siku hiyo jamaa yuko tayari kulipia hotel na chakula kisha huyooo hata nauli ya kumrudisha binti nyumbani anajitegemea. pia anasema mwanamme ana pesa na ni mfanyabiashara mkubwa tu. Shostito anamshangaa jamaa anamwambia anataka kumuoa na ana wivu wa kupindukia, na hataki ampe mtu yeyote 'K' anayoigegeda yeye. Shoga anaomba ushauri afanyeje? je wanaume wote wako hivo?

Kwani yeye alimpa au lipa bili za hoteli lini? au huwa hapati utamu?
Tell her to be humble like her mother.
 
Huyo rafiki yako amekatika mikono?
Rafiki yangu anaomba ushauri.
Ni msichana wa miaka 28 mzuri wa tabia, ana mvuto, wife material, mrembo, mchakarikaji wa maisha. Ana mchumba wake wa miaka miwili sasa. Mchumba huyo hamjali binti kwa lolote i mean Saloon, sio vocha, nguo wala hajawahi kumnunulia hata zawadi yoyote zaidi ya kumpa mapenzi tu. Yaani pesa ya jamaa haitoki mpaka siku akitaka 'K' tu! Siku hiyo jamaa yuko tayari kulipia hotel na chakula kisha huyooo hata nauli ya kumrudisha binti nyumbani anajitegemea. pia anasema mwanamme ana pesa na ni mfanyabiashara mkubwa tu. Shostito anamshangaa jamaa anamwambia anataka kumuoa na ana wivu wa kupindukia, na hataki ampe mtu yeyote 'K' anayoigegeda yeye. Shoga anaomba ushauri afanyeje? je wanaume wote wako hivo?
 
Ukweli ni kwamba vile alivyo leo usitegemee baadaye abadilike huo ubahili hadi kwene mawazo i mean hata ushauri tu hutopata na maisha ya Ndoa siyo lele mama kama mtu hana moyo wa kutoa!Lingine he is using you kuna mambo utakuwa unamsaidia sana labda pia unamzidi upeo na uchumi anafill guilty anaona unajiweza angalia kwa side zote mbaya na nzuri!
 
sometime inahitaji moyo kwakweli mapenzi yaacheni tu yaitwe mapenzi
 
Umeona eeeh mijanamke mingine sijui ikoje, hata mungu alituumba kutoka ubavuni kwao lazima watuangalie jamani
Khaa! Uyo kazidi ubahili sasa,mwambie shostito apite hiv....., atembee na Yesu
 
Thread hii imegusa kumoyo...
mwanaume mchoyo na mbahili msikie tu manake mmmh!.....
Nataman mwanaume mmoja ambaye ni member wa humu ndani aisome hii thread.
Manake ni mbahili sana. Anachochangia yeye ni juhudi za kwenye 6 kwa 6.
Ila naamini hata akisoma hatabadilika ksb mara nyingi ameambiwa live kuwa aache ubahili,uchoyo,ubnafsi lakin wapi, HABADILIKI. Zaidi anaishia kujichekesha na kujibu kuwa anafurahi ana mwanamke anayejiweza..
Mahusiano ya more than 10 year hajawahi kumtoa out,kumnunulia japo hata Pk Mwenzi wake.
Ila yeye anapenda kupokea,na kutolewa out kupita maelezo (kulelewa).....
USIOMBE UKUTANE NA MWANAUME MCHOYO NA MBAHILI KWA MKEWE AU MPENZI WAKE.....
 
anza wew kumpa zawadi..u knw kuna baadhi ya tabia unaweza zitengeneza kwa mwenz wako.
 
huyo rafiki yako ni tolea la ngapi maana version za mabinti zimekua nyingi mpaka inatisha
 
Back
Top Bottom