Mwanamme mbahili pia mchoyo

Mwanamme mbahili pia mchoyo

Kwa hiyo K yako ni mtaji wa kupata vocha, hela ya saloon, pesa ya kununulia nguo na kumalizia shida zako. Hongera zako kwa kuwa mwanamke.

Kwa hiyo hata mke huwezi kumwachia hela ya matumizi kwa kuwa itakuwa kama anakuuzia K? Kama unamwachia kwa nini usimtunze mke tarajiwa? Hivi kazi ya hela ni nini? Halafu ukimbania hela ukigongwa na gari ukafa ukaziacha? Si watazifaidi hata usiowajua? Pesa ni makaratasi tu wote tumezaliwa tumezikuta na tutaziacha. Msipende kutetea ujinga tu huo.
 
Rafiki yangu anaomba ushauri.
Ni msichana wa miaka 28 mzuri wa tabia, ana mvuto, wife material, mrembo, mchakarikaji wa maisha. Ana mchumba wake wa miaka miwili sasa. Mchumba huyo hamjali binti kwa lolote i mean Saloon, sio vocha, nguo wala hajawahi kumnunulia hata zawadi yoyote zaidi ya kumpa mapenzi tu. Yaani pesa ya jamaa haitoki mpaka siku akitaka 'K' tu! Siku hiyo jamaa yuko tayari kulipia hotel na chakula kisha huyooo hata nauli ya kumrudisha binti nyumbani anajitegemea. pia anasema mwanamme ana pesa na ni mfanyabiashara mkubwa tu. Shostito anamshangaa jamaa anamwambia anataka kumuoa na ana wivu wa kupindukia, na hataki ampe mtu yeyote 'K' anayoigegeda yeye. Shoga anaomba ushauri afanyeje? je wanaume wote wako hivo?

Wewe ungekuwa mwanaume ungetaka k unayoigegeda wewe apewe mwenzako? halafu kumbe wala hamuongi hata akitaka k maana si analipia chumba na chakula tu? ambayo ni kawaida...kumpa pesa si ishara ya mapenzi...ishara ya mapenzi ni vile anavyomwambia anataka kumuowa na hata wivu nao ni mapenzi!!!
vipi huyo rafiki yako ana shida ya pesa au mapenzi ya kweli?
kama anataka pesa aachane naye maana hapo pesa za kuchuna hamna...kama anataka mapenzi mwache atulie!!!
ANGALIA USIJE UKAHARIBU MAPENZI YA RAFIKIYO KWA MITAZAMO YAKO TOFAUTI...MAANA NAHISI KWAKO WEWE "NO MONEY NO HONEY"
 
huko ni kulea ujinga .......,,,,, lol!!! hata nauli hatoi mbona anakutumia vibaya sana huyo???
kimbia hakufai na hawa matajiri inabidi kuwa makini sana smtms wanatumia nyota zetu kwa staili kama hiyo ye anatajirika we uko pale pale!!!!

Anamtumia au wanatumiana? kwanini ninyi wanawake mnajiona mna thamani sana(hata kama ni kweli msisahau na sisi tuna thamani pia) kwani mwanaume hatumiki? na inawezekana jamaa anamridhisha fresh huyo binti kuliko yeye anavyoridhika!!!
STOP BEING SELFISH...
 
Goods n services......nnaongelea hapa ni huduma!!!kama unavyitumia sim yko ni huduma sasa salio likikata utalaumu mtoa huduma au mfuko wako???au ndo mnataka kuonewa huruma mpaka kwenye huduma za watu?????
Mwanaume hatoi huduma kwa huyo binti? sasa analipia guest ya nini kama ni punga???
 
Huyo mwanaume hafai hata kwa matumizi ya baadae, kumpa hela mpenzi wako sio kwamba anakuuzia papuchi ni moja ya njia ya kumuonesha kuwa unamjali,,, hilo dume alikujali banaa yeye linajali papuchi tu achana nae fasta mwambie akanunue hukoo kwa wanaoziuza!

sasa wamshauri nini mwanamke mwenzako??? wataka naye aanze kumuuzia?
yeye anajua kuwa papuchi zauzwa lakini amempenda huyo na yupo naye kwa miak 2 na sasa anataka kumuoa...mtu kamheshimu mwamuona mbaya...ndiyo maana wengi wenu hamuolewi kwa tamaa!!!
 
Listen Smile yaani utumie vocha zako kumpigia bwana, utimie nauli yako kumfuata gesti (kwake), hata perfume na duodorant basi akuhudumie.mapenzi sio pesa ni kujaliana wote. Mke au gf ni pambo akipendeza unazidi kumpenda. mimi wangu ananihudumia na mie nanapata moyo wa kumhudumia boxer, soksi, nguo kuduchu ni jukumu langu kwa nimpendae

wewe unataka haribu mahusiano ya rafiki yako kwa sababu ya utashi wako...umesema hapo juu kuwa mapenzi si pesa ni kujaliana sasa mbona maada yako inazungumzia pesa?...kama kujaliana kuna ubaya gani akimpigia? huyo rafiki yako kashawahi mpa shilingi ngapi huyo jamaa???
 
Mmh ukizidi tatizo huyo huyo si anataka kuona umependeza hata mara moja kwa mwaka hakuna hapana doh.

wewe hutaki mwona amependeza? mnunulie basi...sio kutaka kununuliwa wewe tu!!!
 
eti "yakuendekeza mtu bahili halafu hotel chumba laki na kuendelea analipa kwenda kunipasua" au kupasuana?..

halafu ampasue nini wakati amemkuta kashapasuliwa zamani...au alikuta nailoni?
 
jamaa amekopy na kupest kwangu aiseeee,nitoe pesa kwa ajili ya mbunye?.haaa wapi pesa haitoki kienyeji na wewe ni kuwadi wake nini maana mi kwa upeo wangu ningekuomba hadi ww tena hata chumba ningelipa cha elfu 2500/- za kitanzania
 
Kwa hiyo hata mke huwezi kumwachia hela ya matumizi kwa kuwa itakuwa kama anakuuzia K? Kama unamwachia kwa nini usimtunze mke tarajiwa? Hivi kazi ya hela ni nini? Halafu ukimbania hela ukigongwa na gari ukafa ukaziacha? Si watazifaidi hata usiowajua? Pesa ni makaratasi tu wote tumezaliwa tumezikuta na tutaziacha. Msipende kutetea ujinga tu huo.
wewe una miaka mingapi? mbona unayoyasema ya ajabu...nina wasiwasi na uelewa wako!!!
 
KOKUTONA...I am fine dear sijui ww.

I will pay for everything hata kama ni ww nmekutoa out. I am the man...but giving u cash ndipo nnapoona shida. Ila sometimes mbona tunatoa...

Mi niko powa mpendwa..unajua best love is giving lakini tunashindwa kutambua when to give and why.

Mimi mpenzi wangu akinizawadia au akinipa chochote km zawadi au pesa kidogo huwa nafurahi sbb hata mimi sometime humpa pia naye hufurahi.

But sijawah kuweka hii kitu as a must kwamba ni mkataba lazima anipe na kwamba asiponipa basi hanipendi au ananitumia. Na i hate depending on somone, so i work hard to at least have of my own kuogopa kuwa ombaomba. Niweze kujipatia mahitaji yangu ya muhimu yote ili nikipewa, nisipopewa bado maisha yangu yataendelea vema

But in genuine problem where i need help sisiti kumwambia nina shida flani help me with this amount or whatever i may need, kama hana au hawezi kunisaidia kwa wakati huo pia siwezi chukia sbb sijahudumiwa, Na hata kama anazo ameninyima kwa makusudi bado ilikuwa hiyari yake kunipa, it is not a must.

Kumpa mwanamke hela kila siyo kipimo cha kuonyesha unampenda, kuna mengine meengi sana ndani yake.

Though mwanamume kumzawadia mwanamke anything hata cha gharama ndogo tu inafariji sana, It nature, ndivyo tulivyoumbwa....mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na wa ukweli unawiwa tu kumzawadia mkeo au mpenzio hata BIG G tu.
 
Miss strong amekuwa mkali huyu! hakya mama yaelekea uki-do nae 'usimpe chake' anaweza kukuvua suruali!:busu
 
... love is giving lakini tunashindwa kutambua when to give and why.

Mimi mpenzi wangu akinizawadia au akinipa chochote km zawadi au pesa kidogo huwa nafurahi sbb hata mimi sometime humpa pia naye hufurahi.

But sijawah kuweka hii kitu as a must kwamba ni mkataba lazima anipe na kwamba asiponipa basi hanipendi au ananitumia. ...

But in genuine problem where i need help sisiti kumwambia nina shida flani help me with this amount or whatever i may need, kama hana au hawezi kunisaidia kwa wakati huo pia siwezi chukia sbb sijahudumiwa, Na hata kama anazo ameninyima kwa makusudi bado ilikuwa hiyari yake kunipa, it is not a must.

Kumpa mwanamke hela siyo kipimo cha kuonyesha unampenda, kuna mengine meengi sana ndani yake.

Though mwanamume kumzawadia mwanamke anything hata cha gharama ndogo tu inafariji sana, It nature, ndivyo tulivyoumbwa....mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na wa ukweli unawiwa tu kumzawadia mkeo au mpenzio hata BIG G tu.

U said it all...na wenye masikio na wasikie!!!
 
Anamtumia au wanatumiana? kwanini ninyi wanawake mnajiona mna thamani sana(hata kama ni kweli msisahau na sisi tuna thamani pia) kwani mwanaume hatumiki? na inawezekana jamaa anamridhisha fresh huyo binti kuliko yeye anavyoridhika!!!
STOP BEING SELFISH...

tuko tofauti sana yes am selfish but in a different way!!!!! mwanaume anaempenda mpenzi wake humu hudumia hasa kwenye mambo ya muhimu....
 
mi naona amchukulie hivo hivo ..maisha si pesa tu. kwani swala la mwanaume kukupa hela linabeba maksi ngapi katika mia
kama sifa zingine anazo na ana asilimia at least 60 bebana nae tu
True dat, mwambie aelewe, na haya yamemkuta yeye sio rafiki yake, ile thread ingine aloanzisha ni pacha na hii ukiweza kusoma btn the lines, kama wewe mchakarikaji kwanini hoja yake isijiegemeze kwenye masuala mengine ya msingi zaidi ya hoja ya pesa tuu? Je ukipewa pesa utamaamini kuwa anakupenda ilihali mambo ndo hayo? Wake up lady
 
Na yeye afanye kazi atengeneze pesa zake aache kuwa tegemezi, ebo!

There is something gratifying and fulfilling when one is able to provide for himself or herself without depending on anyone.

Be provident, work hard, live within your means, and you'll be fine.
 
Mi niko powa mpendwa..unajua best love is giving lakini tunashindwa kutambua when to give and why.

Mimi mpenzi wangu akinizawadia au akinipa chochote km zawadi au pesa kidogo huwa nafurahi sbb hata mimi sometime humpa pia naye hufurahi.

But sijawah kuweka hii kitu as a must kwamba ni mkataba lazima anipe na kwamba asiponipa basi hanipendi au ananitumia. Na i hate depending on somone, so i work hard to at least have of my own kuogopa kuwa ombaomba. Niweze kujipatia mahitaji yangu ya muhimu yote ili nikipewa, nisipopewa bado maisha yangu yataendelea vema

But in genuine problem where i need help sisiti kumwambia nina shida flani help me with this amount or whatever i may need, kama hana au hawezi kunisaidia kwa wakati huo pia siwezi chukia sbb sijahudumiwa, Na hata kama anazo ameninyima kwa makusudi bado ilikuwa hiyari yake kunipa, it is not a must.

Kumpa mwanamke hela kila siyo kipimo cha kuonyesha unampenda, kuna mengine meengi sana ndani yake.

Though mwanamume kumzawadia mwanamke anything hata cha gharama ndogo tu inafariji sana, It nature, ndivyo tulivyoumbwa....mwanaume mwenye mapenzi ya kweli na wa ukweli unawiwa tu kumzawadia mkeo au mpenzio hata BIG G tu.
Unapodai kama ulizikopesha au kama umeuza bidhaa ndio unakuwa umeonyesha tabia yako wewe ni nani... Ndio maana pesa yenyewe anapewa siku ya game tuu, hashangai??? Ukideserve lazima mwanaume awajibike trust me.
 
Back
Top Bottom