Mwanamme mbahili pia mchoyo

Mwanamme mbahili pia mchoyo

wapi pameandikwa kwamba ukiwa na mchumba lazima akujali? Amekwambia yeye anamjali kwa kitu gani? Acheni ujinga watotot wa kike kupenda vya bure!

Angekuwa mbele yangu ningemchapa kofi kwa tabia ya kupenda bwerere, -------

hela ya kufanyia papuchi marekebisho hiyo............
 
Asanteni Smile, Caroline Danzi na FaizaFoxy kwa kumjibu vyema maana mimi angebishana kwa kuwa mwanaume.

Ni ukweli usiopingika kuwa kipimo cha mwanaume anayekupenda ni jinsi gani anaweza kukuvumilia (try kumnyima papucci ndo ujue kama ana nia nawe au la!)...vingine vyote mbwembwe tu (as smile puts it: bonus).
 
Last edited by a moderator:
Mapenz ni undefined' ukijali sana utaitwa buzi, atm, godfather nk ukibana ndio hvyo. Na ukitaka kumjua mpenz wa kweli mpe mitihani kama hiyo cku za mwanzo, akivumilia amefaulu, unaweza ukampandisha daraja la mchumba au mke. Huyo dada ana'deserve kua mke. Ila huyo jamaa kapitiliza. Mwambieni huyo dada ani pm maana nahitaji mke.
 
Asanteni Smile, Caroline Danzi na FaizaFoxy kwa kumjibu vyema maana mimi angebishana kwa kuwa mwanaume.

Ni ukweli usiopingika kuwa kipimo cha mwanaume anayekupenda ni jinsi gani anaweza kukuvumilia (try kumnyima papucci ndo ujue kama ana nia nawe au la!)...vingine vyote mbwembwe tu (as smile puts it: bonus).

Ila asiwe anaachia kwa masela wengne kimaslah zaidi kukompaset ubahili wa jamaa
 
Last edited by a moderator:
Me usiponipa nauli siji hotelin / gest, usiponipa vocha sikupigii wala sijibu sms, usipo nipa pesa za matumizi nakufanyia makusudi natafuta nguo mbaya siku hiyo sipaki perfume or lotion napaka mafuta ya kasuku kama nywele ndio timutimu chupi natafuta mbaya tena naitoboa papuchi siioshi siku tatu. nakuja tuone kama utaona raha
Nyie wanaume mnapenda mteremko sana, me mwanaume wa hivyo sikutaki mahaba niue akha

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Asanteni Smile, Caroline Danzi na FaizaFoxy kwa kumjibu vyema maana mimi angebishana kwa kuwa mwanaume.

Ni ukweli usiopingika kuwa kipimo cha mwanaume anayekupenda ni jinsi gani anaweza kukuvumilia (try kumnyima papucci ndo ujue kama ana nia nawe au la!)...vingine vyote mbwembwe tu (as smile puts it: bonus).

maajabu ya watoto wa mjini haya
 
ukiumwa cancer ya kizazi na k ndo utajua
 
Smile kila wakati unaniwahi kutoa jibu.

Ila we dada jiulize tu:

Hasara yake hasara yako?

Kwa nini usiamue tu kumnyima?

ukiumwa cancer ya kizazi na k ndo utajua
 
Last edited by a moderator:
Smile kila wakati unaniwahi kutoa jibu.

Ila we dada jiulize tu:

Hasara yake hasara yako?

Kwa nini usiamue tu kumnyima?
eti anaacha kuoga siku tatu kisa mwanaume hajampa hela ya sabuni..kama vipi aache kula kabisa afe njaa ili hiyo k ifukiwe chini jamaa akose hiyo kitu yake tuone!
 
Wewe unafikiriaje au umempa ushauri gani kabla ya kulileta JF?

Huyo anaachiwa UKIMWI mambo kwisha, anatagemea nini zaidi kwa kugegedwa nje ya ndoa?

FaizaFoxy usiseme hivyo kaa ujue karne hii wanaume hawajali bikra lazima akuonje ndo mengine yafwate. Vinginevyo mnyeezi mungu atusaidie
 
eti anaacha kuoga siku tatu kisa mwanaume hajampa hela ya sabuni..kama vipi aache kula kabisa afe njaa ili hiyo k ifukiwe chini jamaa akose hiyo kitu yake tuone!

Ahahaha na wewe siku hizi umekuwa mu-wise!!! sijui n nini umepuliza mamii...
 
Daah... Huyu kazidi sasa wanasemaga no free lunch ila huyu ni mlafi anakula bure

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
eti anaacha kuoga siku tatu kisa mwanaume hajampa hela ya sabuni..kama vipi aache kula kabisa afe njaa ili hiyo k ifukiwe chini jamaa akose hiyo kitu yake tuone!

And the guy simply mover on to the next 'cat' available!!!
 
Asanteni Smile, Caroline Danzi na FaizaFoxy kwa kumjibu vyema maana mimi angebishana kwa kuwa mwanaume.

Ni ukweli usiopingika kuwa kipimo cha mwanaume anayekupenda ni jinsi gani anaweza kukuvumilia (try kumnyima papucci ndo ujue kama ana nia nawe au la!)...vingine vyote mbwembwe tu (as smile puts it: bonus).

Mapenzi hayatabiliki mwingine atakwambia anakuvumilia kumbe anapunguza madikodiko yake huko nje,nawe ukaona kweli hapa napendwa navumiliwa kumbe mambo yanaendelea tu huko nje
 
Last edited by a moderator:
unanishangaza uliposema hata k hatakiampe mtu mwingine as if ni maandazi....mnajiabisha
 
FaizaFoxy usiseme hivyo kaa ujue karne hii wanaume hawajali bikra lazima akuonje ndo mengine yafwate. Vinginevyo mnyeezi mungu atusaidie

Hizi ni fikra pofu, nakumbuka kuna mwana JF mmoja zamani kidogo alishasema humu, kosa kubwa la wasichana na wanawake ni siku wanapoamua kumvulia chupi mwanamme kwa mara ya kwanza, nakubaliana nae 100%.

Nakuasa kijana, kama ulishawahi kuivua hapo nyuma, sasa wacha. Usiivue chupi yako kwa mwanamme mpaka baada ya kufunga ndoa (kama hizo chupi mnavaa siku hizi).
 
Back
Top Bottom