KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
Ni wakawake wachache wenye akili kama ya kwako maana wengi hufikiri wanaume ni ATM au vyovyote vile. Kiukweli umetisha sana katika comment yako.
Thanks Mzee wa Rula
Maisha ni lazima kuyafikiria na kuenenda nayo kwa mapana yake. Hasa kwenye swala la mahusiano na pesa.
Last edited by a moderator: