tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
Mbona unaona huyo mwanaume tu ndo anamtumia vibaya huyo mdada? tinna cute ulitakiwa umwambie kuwa asimtumie huyu mwanaume vibaya. Kwanza kasema ati anapewa tena hela baada ya ku-do. hiyo haki iko wapi jamani? Yeye alikuwa wapi wakati jamaa ana do? Si walikua wana do wote wawili? Kwa nini asimpe huyo jamaa hata mia kama asante kwa kumfikisha kilele??
Huyu mdada hafai kabisa, kwanza hasemi hulipwa ngapi kwa hilo lidhambi analouza, tena anasema jamaa ana wivu, angekuwa na wivu angesha vuta ndani siku nyingi. Ana mbabaisha tu hata hiyo pete ya uchumba bado ila migegedo haihesabiki, kuna haja gani tena ya kuvuta ndani? Kwani anakuja mpya?
kama jamaa kamwambia kuwa anataka harusi, hiyo ni pipe tuu si lolote. Atangoja saana harusi
teh teh!!!!! si umesoma uzi jamaa hatoi hata hela ya nauli ye anajua kulipia chumba apate papucci ,,,,, ndoa hapo hakuna na hata ikifungwa lazima ivunjike!!!!!!
nta mp nimpe somo cku akienda kugegedwa ampagawishe jamaa mpaka ampoze na ka vits
!!!!!!!