Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

Dini ya kiislamu inasema ni LAANA KUBWA KUONA TUPU/SEHEMU ZA SIRI.Ndo mana wanashauri mapenzi yafanyike usiku tena gizani

Mi mwenyewe Muislam safi ila tunafanya mchana na inaingia vizuri tu,Hana shida tena anaruka ruka kitandani kama pepkon za makumbusho,Yani anajirusha rusha walah na msambwanda wake unatikisika basi raha kweli
 
Habari wadau?

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba, ila nina mpenzi.

Sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa faragha mimi huwa sio mtu wa kujifichaficha, huwa najiachia tu kama nilivyozaliwa siogopi wala kuona aibu maana tunakuwa wawili na tunafanya tendo la uzinzi(dhambi).

Ila yeye sijawahi kumuona uchi wake kiukweli, kwanza hapendi tuonane mchana na usiku anataka nizime taa.

Nashindwa kuelewa sababu ni nini? Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka, kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake.

Jambo hilo linanipa mawazo sana, je sababu ni nini? Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea, ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunasex mara mbili kwa wiki anakuja Jumamosi home na anakuja na Jumatano.

Kwa hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu, sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu.
Mwenye shughuli na hiyo papuchi wala hana macho, na wala hajaiona, anaingia mwenyewe, anastarehe hadi anaridhika halafu anatoka.
Wewe kwanini unataka uione,,? si umbea huo,,,
 
Back
Top Bottom