Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

Habari wadau?

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba, ila nina mpenzi.

Sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa faragha mimi huwa sio mtu wa kujifichaficha, huwa najiachia tu kama nilivyozaliwa siogopi wala kuona aibu maana tunakuwa wawili na tunafanya tendo la uzinzi(dhambi).

Ila yeye sijawahi kumuona uchi wake kiukweli, kwanza hapendi tuonane mchana na usiku anataka nizime taa.

Nashindwa kuelewa sababu ni nini? Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka, kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake.

Jambo hilo linanipa mawazo sana, je sababu ni nini? Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea, ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunasex mara mbili kwa wiki anakuja Jumamosi home na anakuja na Jumatano.

Kwa hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu, sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu.
Labda anabonge la LIJISIMI (kinembe) au ana mkanda Jeshi
 
Jamani hata mkono huwezi peleka wewe nawe kwani mnazima hadi taa za nje kwanini usitafute touch wakati unataka kuingia unafanya kama umekosea unamulika ukikutana na nyoka shauri yako unaweza kuta kuna manyoa kama ya sungura[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Habari wadau?

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba, ila nina mpenzi.

Sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa faragha mimi huwa sio mtu wa kujifichaficha, huwa najiachia tu kama nilivyozaliwa siogopi wala kuona aibu maana tunakuwa wawili na tunafanya tendo la uzinzi(dhambi).

Ila yeye sijawahi kumuona uchi wake kiukweli, kwanza hapendi tuonane mchana na usiku anataka nizime taa.

Nashindwa kuelewa sababu ni nini? Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka, kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake.

Jambo hilo linanipa mawazo sana, je sababu ni nini? Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea, ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunasex mara mbili kwa wiki anakuja Jumamosi home na anakuja na Jumatano.

Kwa hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu, sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu.
Hana uke huyo kashabakiza ngozi nyekundu huko chn
 
Ila ujue ukitaka kuingiza uzi kwenye tundu la sindano ni lazima uchungulie kwa makini.
 
Back
Top Bottom