Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

Habari wadau?

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba, ila nina mpenzi.

Sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa faragha mimi huwa sio mtu wa kujifichaficha, huwa najiachia tu kama nilivyozaliwa siogopi wala kuona aibu maana tunakuwa wawili na tunafanya tendo la uzinzi(dhambi).

Ila yeye sijawahi kumuona uchi wake kiukweli, kwanza hapendi tuonane mchana na usiku anataka nizime taa.

Nashindwa kuelewa sababu ni nini? Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka, kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake.

Jambo hilo linanipa mawazo sana, je sababu ni nini? Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea, ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunasex mara mbili kwa wiki anakuja Jumamosi home na anakuja na Jumatano.

Kwa hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu, sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu.
anaweza kuwa na shida za kawaida tu. kuna mwaka nilikuwa Tabora (enzi za ujinga) nikakutana na mwanamke mmoja mzuri sana ila alikuwa ameshazaa. kumbe wakati anazaa au sijui aliuguaga magonjwa ya zinaa?akawa hataki kuona nyeti yake. ukiweka kidole pale kwa juu kuna kama vimatuta vile, sasa yeye vimetoka hadi nje ni kama wakati anajifungua ule uchi ulifumuliwa kuja nje sasa kwasababu vimekuwa exposed pamekuwa na sugu ngumu ambayo unaweza kuchubuka kuliko hata ungechubuka kwa forest. nilipashika na kupaangalia nikaona wakati sijui wanamshona au ilikuwa nini sikuelewa, ule uchi ni kama umetoka kwa nje ukawa exposed sasa pakawa pakavu na ukavu kama magamba kwa mbali. nilimwonea uruma sana kwasababu sura yake ni tofauti na alivyo na hajisikii huru kwasababu ya hilo na hajaolewa. kila mtu atakuwa anakuja anapiga na kukimbia.
 
Unapogegeda lazima uangalia unapogegeda...hawa wanawake wa siku hizi hawakawii kukuwekea kwenye KWAPA...ukamaliza haja zako kumbe MUDA UPO UNAGEGEDA KWAPA...pia unapokunywa hada soda au juice lazima UIANGALIE MARA KWA MARA...ili kufurahia ladha mkuu...
Habari wadau?

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba, ila nina mpenzi.

Sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa faragha mimi huwa sio mtu wa kujifichaficha, huwa najiachia tu kama nilivyozaliwa siogopi wala kuona aibu maana tunakuwa wawili na tunafanya tendo la uzinzi(dhambi).

Ila yeye sijawahi kumuona uchi wake kiukweli, kwanza hapendi tuonane mchana na usiku anataka nizime taa.

Nashindwa kuelewa sababu ni nini? Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka, kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake.

Jambo hilo linanipa mawazo sana, je sababu ni nini? Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea, ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunasex mara mbili kwa wiki anakuja Jumamosi home na anakuja na Jumatano.

Kwa hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu, sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu.
Singida,Dodoma,Mara,Manyara,Arusha kama anatoka mikoa hii asilimia kubwa atakuwa hana antena(kakeketw*),na hawa watu usipowaandaa kisaikoloji basi ujue kuiona au kuweka mkono wako kwenye papuchi yake hilo sahau,fanya chini juu kumfanya ajue kutokuwa na antena sio dhambi na wala haizui yeye kufurahi tendo ukimuwin hapo na akijua yupo salama kwako jua tu huyo na wako milele maana ni wagumu kugawa uroda kwa wanaume kwa hofu ya maumbile yao
 
Habari wadau?

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba, ila nina mpenzi.

Sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa faragha mimi huwa sio mtu wa kujifichaficha, huwa najiachia tu kama nilivyozaliwa siogopi wala kuona aibu maana tunakuwa wawili na tunafanya tendo la uzinzi(dhambi).

Ila yeye sijawahi kumuona uchi wake kiukweli, kwanza hapendi tuonane mchana na usiku anataka nizime taa.

Nashindwa kuelewa sababu ni nini? Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka, kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake.

Jambo hilo linanipa mawazo sana, je sababu ni nini? Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea, ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunasex mara mbili kwa wiki anakuja Jumamosi home na anakuja na Jumatano.

Kwa hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu, sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu.
sasa hili suala ndio la kuketa hapa? si umwambie yeye mwenyewe,je yeye hapendwi kunyonywa papuchi?
 
Back
Top Bottom