Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Habari wadau?

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba, ila nina mpenzi.

Sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa faragha mimi huwa sio mtu wa kujifichaficha, huwa najiachia tu kama nilivyozaliwa siogopi wala kuona aibu maana tunakuwa wawili na tunafanya tendo la uzinzi(dhambi).

Ila yeye sijawahi kumuona uchi wake kiukweli, kwanza hapendi tuonane mchana na usiku anataka nizime taa.

Nashindwa kuelewa sababu ni nini? Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka, kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake.

Jambo hilo linanipa mawazo sana, je sababu ni nini? Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea, ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunasex mara mbili kwa wiki anakuja Jumamosi home na anakuja na Jumatano.

Kwa hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu, sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu.
 
Habari wadau? Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo.kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba,ila nina mpenzi.sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana,tukiwa faragha mimi huwa sio mtu wa kujifichaficha,huwa najiachia tu kama nilivozaliwa siogopi wala kuona aibu maana tunakuwa wawili na tunafanya tendo la uzinzi(dhambi).ila yeye sijawahi kumuona uchi wake kiukweli,kwanza hapendi tuonane mchana,na usiku anataka nizime taa.nashindwa kuelewa sababu ni nini? Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka,kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake.jambo hilo linanipa mawazo sana,je sababu ni nini? Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea,ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi,na huwa tunasex mala mbili kwa wiki.anakuja jumamosi home na anakuja na jumatano.kwa hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu,sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu

Ana jinsia 2 huyo
 
INA MAANA WEWE UKIMGEGEDA UNAMBANA KAMA JOGOO/ TUMIA STYLE TOFAUTI UWE UNAIONA PAPUCHI VIZURI USITUMIE KIFO CHA MENDE TU.
 
Watanzania na haswa vijana wanashindwa kuleta maada nzuri ya kimaendeleo, muda wote wanafikiria mambo ya ngono tu, vijana tumieni muda mwingi kupata maarifa mapya ili kuondokana na umaskini.
Cha ajabu kabisa, nawewe huu muda wa kusoma naku comment hii habari kuhusu ngono..... Kwanini usinge utumia muda huu kwa kuleta mada ya maendeleo ili tuutokomeze ufukara....!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom