😂😂Ukiongeza Anko T kama kifungashio.
Mwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni. Ukiongeza Anko T kama kifungashio.
Huyu ukioa na ndoa utaiona nyepesi. Uombe awe pia mcheshi. Ndoa nyepesiiii
😂😂😂Jina tu linanichekeshaUmeona sehemu ya Anko T tu 😃
nishapga hii kazi ni hatariAu sio
Kinondoni kuna wanaume wa njombe wanaishi pale unataka kusemajeMwanamke wa Njombe ni sawa na wanaume watano wa Kinondoni. Ukiongeza Anko T kama kifungashio.
View attachment 3459659