Mwanamke wa namna hii hakufai asilani na wala Usipoteze muda wako juu yake

Tipstipstor

JF-Expert Member
Nov 29, 2021
1,531
3,331
Ahlan wa sahlan

Kuna wanawake wa aina nyingi hapa duniani.Kuna baadhi ya tabia zao zikianza kujionesha katika mahusiano yenu jua kuwa taa nyekundu imeshawaka na yakupasa ushtuke na usepe mapema.

Mwanamke ambae hakusalimii wala kukujulia hali wala kukutakia usiku mwema mpaka umuanze wewe jua kabisa kuwa haupo kwenye moyo wake. Hapa ndugu unatakiwa ushtuke mapema na ikiwezekana temana nae.

Mwanamke ambae ukimtumia sms zako anazisoma halafu hakujibu ontime kwa kisingizio kuwa yupo busy na kazi , na anajibu anavyojisikia yeye labda baada ya siku moja su hata wiki baada ya kuzisoma jua kuwa huna umuhimu kwake ,hivyo inakupasa ujiongeze.

Mwisho ni mwanamke ambae ukiona anakutafuta au kukujulia hali yako ni pale tu anapokuwa amekwama kiuchumi.Huyu temana nae na umfungie vioo kabisa maana hakufai ,umuhimu wake kwako ni katika masuala ya pesa tu.
 
Mwanamke anayekupenda hawez kosa mda wa kukusalimia au kujibu sms

Niliwahi kujidai nang'ang'ana na mtu wa silka hiyo mwishowe alinichoma na kitu chenye ncha kali.

Ili upende ni lazima uwe dhaifu, unakuwa vulnerable na ndo wanatumia hiyo nafasi kukupiga na kitu kizito.
 
Hivi Unajua Kuna Mtu Anapitia Matatizo Ya Kimahusiano Na Mpenzi Wako...???
 
Hakika umenena mkuu
Kweli brother deep...haiwezekani mwanamke aseme yupo busy kiasi kushindwa kureply hata sms uliyomtumia kumjulia hali. Yaani unaona blueticks tu halafu last seen labda dk 10 zzilizopita ila sms umemtumia masaa 10 yaliyopita na hajaijibu.
 
K
Mwanamke anayekupenda hawez kosa mda wa kukusalimia au kujibu sms

Niliwahi kujidai nang'ang'ana na mtu wa silka hiyo mwishowe alinichoma na kitu chenye ncha kali.

Ili upende ni lazima uwe dhaifu, unakuwa vulnerable na ndo wanatumia hiyo nafasi kukupiga na kitu kizito.
Kweli brother!! Kitu nlichojifunza maishani ni kuwa king'ang'anizi ktk kutafuta pesa tu na si mapenzi ya hawa viumbe wa ubavu wa kushoto. Mwanamke akikupenda ni lazima uwe akilini mwake na hawezi kukosa muda juu yako
 
Ilinitesaga kipindi Fulani au ukute hiv vii emoj🙄 nilikuwa naboreka kinoma Ila nilipiga chini na sikuwahi taka mazoea tena

Back
Top Bottom