KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Mwanamke wa kigogo wa Chadema? CCm? Waziri au?
jambazi unatafutwa.wacha lithrid hapo linasubiriwa kufutwa
Wifi za masiku sio shwari...kakako anataka kunipangia hata siku za kuingia JF....sijui ni wivu au ndo ananionyesha nani mwamuzi!!Lolzzz!Nimekumiss pia wifi!Ahhh haya mambo ya kujadili makabila ya watu yanachosha na kuboa kweli....utadhani mtu anazaliwa na kulelewa na kabila!!!Ajue anaweza akapata sifa nzuri sana hapa baada ya kuingia anakuta aliyodhani/ambiwa siyo...au akalemewa na sifa mbaya na kuamua kukaa mbali kumbe kajikosesha bahati ya kumpata anaemfaa!Kama kapenda amchunguze tu na sio kuuliza "katoka wapi"..."kabila lake lina rangi gani" ....
Mwanamke wa kigogo ya mburahati or kigogo ukiwa unamaana kibossile or wale wa kanda ya kati dodoma? Majibu yangu nitayatoa km nilivyoanza hapo juu...1. Wanamke wa kigogo (mburahati) hawa hupenda sana starehe, hupenda kwenda kwenye vikundi vya ngoma mtaani na mara nyingi huko ngoma km segere hazikosi. Pia hupenda sana taarabu, karibia kila bar hupigwa taarabu. Kumbukeni % kubwa ya wakazi wa kigogo ni wazaramo na watu wa pwani.2. Wanawake wa kigogo(viboss) hawa wanaongoza kwa ufujaji wa pesa kwa mambo yasiyo ya msingi, then watu hawa kwa dhalau ucpime! Mf. Mke wa mwai kibaki aliwachapa waandishi vibao!3. Wanawake wa kigogo (kanda ya kati-dodoma) hawa wanaongoza kwa kutojua thamani ya mapenzi na ndoa, hawajui malezi ya watoto, ni wachafu, wana uelewa mdogo na wakizibuka na maisha ya town huchanganyikiwa kabisa!Salaam wana MMU,Kumekua na mada mbalimbali zinazohusu tabia,silka za wanawake wa kutoka makabila mbalimbali yaliyo ndani ya Tanzania au nje YaTanzania,mfano kuna mada kuhusu wanawake wa kichaga,kingoni.wakurya na wanyarwanda,wadau wakachambua na tukajua tusivyovijua kuhusu wanawake wa makabila hayo.Leo nimeona siyo vibaya tukajaribu kuelezea Tabia za wanawake wa KiGOGO.Note:tukiacha ile sifa yao kubwa ya utani ya kuombaomba(umatonya)Nawasilisha.
Hata mimi wamenichanganya sana hao mambwana, nilidhani wanawake wa kigogo(mburahati) na wale wa (mabosi) teh! Wale wa kigogo (dom) twawajua ni omba omba!Duhhhhhhhhhhh....Nimeuvaa mkenge....Nilidhani watu wachambua tabia za wake wa wakubwa (vigogo ..wingi au kigogo...umoja)...kumbe ni mambo ya makabila na ukabila!!Kwa herini......!!!Babu DC
Salaam wana MMU,
Kumekua na mada mbalimbali zinazohusu tabia,silka za wanawake wa kutoka makabila mbalimbali yaliyo ndani ya Tanzania au nje YaTanzania,mfano kuna mada kuhusu wanawake wa kichaga,kingoni.wakurya na wanyarwanda,wadau wakachambua na tukajua tusivyovijua kuhusu wanawake wa makabila hayo.
Leo nimeona siyo vibaya tukajaribu kuelezea Tabia za wanawake wa KiGOGO.
Note:tukiacha ile sifa yao kubwa ya utani ya kuombaomba(umatonya)
Nawasilisha.
Salaam wana MMU,
Kumekua na mada mbalimbali zinazohusu tabia,silka za wanawake wa kutoka makabila mbalimbali yaliyo ndani ya Tanzania au nje YaTanzania,mfano kuna mada kuhusu wanawake wa kichaga,kingoni.wakurya na wanyarwanda,wadau wakachambua na tukajua tusivyovijua kuhusu wanawake wa makabila hayo.
Leo nimeona siyo vibaya tukajaribu kuelezea Tabia za wanawake wa KiGOGO.
Note:tukiacha ile sifa yao kubwa ya utani ya kuombaomba(umatonya)
Nawasilisha.
Acha umbea mtoto wa kiume ingekuwa zanzibar tungekuvalisha chupi ya bambino na dela alafu tungeku ''chumu'' coz siku hizi mambo ya makabila ya mepitwa na wakati na wanaume ambao wanaoa kwa kuangalia makabila ni vidudu mtu.Hata wanawake wa ki barbeg siku hizi wameelimika.Leta hoja za maana sio huu upuuzi wa kitoto.
Mi nnawapendeaga vifua vyao tu..................................Wanawake wa kichaga wanapenda hela? Hawajui mapenzi?