quen Eunice
Member
- Dec 12, 2013
- 8
- 1
Hzo ni sifa za kabira bt kila m2 anasifa zake so usimjaj m2 kulingana na kabila lake
Hzo ni sifa za kabira bt kila m2 anasifa zake so usimjaj m2 kulingana na kabila lake
wavivu, nadhani inaandamana na hiyo ya kuomba omba. japokuwa self determination pia inahusika,kuna mtu anayetumia nguvu na akili zake zote ku-prove the theories wrong! usisahau na uchafu kdg, hata kuoga ni issue (nimeshakuwa na maid mgogo,hayo ndo niliona..)