Mwanamke wa KIGOGO. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke wa KIGOGO.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwanakili90, Jun 19, 2011.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Salaam wana MMU,
  Kumekua na mada mbalimbali zinazohusu tabia,silka za wanawake wa kutoka makabila mbalimbali yaliyo ndani ya Tanzania au nje YaTanzania,mfano kuna mada kuhusu wanawake wa kichaga,kingoni.wakurya na wanyarwanda,wadau wakachambua na tukajua tusivyovijua kuhusu wanawake wa makabila hayo.
  Leo nimeona siyo vibaya tukajaribu kuelezea Tabia za wanawake wa KiGOGO.

  Note:tukiacha ile sifa yao kubwa ya utani ya kuombaomba(umatonya)

  Nawasilisha.
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  wavivu, nadhani inaandamana na hiyo ya kuomba omba. japokuwa self determination pia inahusika,kuna mtu anayetumia nguvu na akili zake zote ku-prove the theories wrong! usisahau na uchafu kdg, hata kuoga ni issue (nimeshakuwa na maid mgogo,hayo ndo niliona..)
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unataka wachambuliwe ili?!Kwanini usije na kabila lako useme “sisi wanaume wa kabila fulani tuko hivi na hivi haya naomba mtuchambue“ ?Kazi kuhangaika na makabila ya wengine tu....
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Aah mae? Uamba...? Lizzy mlishajichambua mbona
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  kakako kaona ua zuri mahali anataka kulivizia wifi, hebu mpe hints asije akawa surprised banaa. za masiku? u ar missed...

   
 6. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,468
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Mimi nilivutiwa head line nikifikiri walengwa ni wanawake wa vigogo,lakini kama mada ni juu ya kabila la kigogo,hakuna haja siku hizi kuangaika na makabila ya watu.
   
 7. CPU

  CPU JF Gold Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sio fresh kuchambua mwanamke kwa kufuata kabila au hata dini kwenye hadhara namna hii.
  Mambo kama haya wanaongelea pembeni, tena mkiwa watu wa kabila moja tu.
  Sio hapa kwenye mchanganyiko mkubwa wa watu
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wifi za masiku sio shwari...kakako anataka kunipangia hata siku za kuingia JF....sijui ni wivu au ndo ananionyesha nani mwamuzi!!Lolzzz!Nimekumiss pia wifi!Ahhh haya mambo ya kujadili makabila ya watu yanachosha na kuboa kweli....utadhani mtu anazaliwa na kulelewa na kabila!!!Ajue anaweza akapata sifa nzuri sana hapa baada ya kuingia anakuta aliyodhani/ambiwa siyo...au akalemewa na sifa mbaya na kuamua kukaa mbali kumbe kajikosesha bahati ya kumpata anaemfaa!Kama kapenda amchunguze tu na sio kuuliza “katoka wapi“...“kabila lake lina rangi gani“ ....
   
 9. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  sipiyU,ZA cku? Wajua tulichambua wachaga humu,wakurya,wangoni' wanyarwanda,co kwamba kujua tabia zao ni kuwadhalilisha,ni vema 2kazijua kuliko kutokuzijua,haijalishi idadai ya watu.
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Inanikumbusha Binamu yangu mmoja hivi alipendwa saaaana na dada mmoja hivi ni mgogo aliitwa Grace demu alikuwa bomba mbaya tabia nzuri eti binamu yangu akasema anaogopa wagogo eti ni omba omba, kweli wote tulisikitika sana lkn ndo hivyo demu akawa very disapointed! sijajua leo yuko wapi hiyo ilikuwa 1996-1997. binamu akaja angukia kwa mchaga. Tusibague watu kwa makabila jamani si vizuri!!!
   
 11. m

  menny terry Senior Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Acha umbea mtoto wa kiume ingekuwa zanzibar tungekuvalisha chupi ya bambino na dela alafu tungeku ''chumu'' coz siku hizi mambo ya makabila ya mepitwa na wakati na wanaume ambao wanaoa kwa kuangalia makabila ni vidudu mtu.Hata wanawake wa ki barbeg siku hizi wameelimika.Leta hoja za maana sio huu upuuzi wa kitoto.
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo ndo unaona sifa....embu kasaidie kazi achana na makabila ya watu!Au leta lako na sifa zenu tuwachambue kama njegere!
   
 13. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  we MDALA nini? Wa mpwapwa hajafika atakuja kutupa detailz zao, ila ni kwel wanawake wamebadilika mana hata zanzibar mnasifika sana kutoa mlango wa zarura kwa mabwana zenu japo sio wote,ila ni vizuri kujua pa kuanzia ili mwisho usije sumbua.
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mathread kama haya ndo yanakata stimu kuingia JF siku hz kabila ndo nini sasa?
   
 15. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mwanakilimanjaro. Jaman mbna mlishawachambua hawa waki manka? Kwani tatizo lipo wapi?
   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inawezekana hulioni tatizo.
  Akija mtu akisema wengi wao ni wazinzi na akatoa na ushahidi, ujue utawagusa hata wagogo ambao sio wazinzi??
  Wenzio walipoanzisha walikuwa specific, mfano alikuja mtu akasema mabinti wa Arusha wazuri sana, kuanzia tabia hadi sura. Wanafaa kuolewa na kuwa wake wazuri. Sasa wewe unakuja na kudai TUWAJUE WAGOGO . . . .
  Jaribu kuelewa kijana, acha ubishi. Kuchambuana kabila hadharani sio vizuri.

  Sio kila mtu anajisikia kama unavyoona wewe.
  Wenzio watajihisi kudhalilishwa, hata kama wewe hutaona ni udhalilishaji unapaswa uache.
  Heshimu wenzako.
  Acha kung'ang'ania unachoambiwa hakifai . . .
   
 17. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mmh haya Sipiyu.au kwavile Dodoma kuna bunge? Wachaga walichambuliwa kwa mazuri na mabaya,wangoni tuliwapa sana sifa humu haikuwa tatizo,wanyarwanda ndo msiseme, wakurya kila mtua alijitaid,bt leo hii wagogo imekua donge. Co mbaya ngoja nimwamwimbie mod aitoe.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Natumaini atakusoma na kukuelewa...kweli ukiamua hua unatoa point mwanzo mwisho!
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jun 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Haijalishi ni kabila gani....hata hayo mengine sikufurahia...hata la kwangu mwenyewe sikufurahia japo najivunia.Heshimu uheshimiwe...kwani ukiwachambua utafaidika vipi na ukiachana nayo unapungukiwa na kipi!?
   
 20. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wanawake wa kichaga wanapenda hela? Hawajui mapenzi?
   
Loading...