Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,217
- 11,337
Bitoz njoo huku nilikukosa kwa muda au ulimkimbia scorpion
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wanaume wa Dar mmeshaacha kula embe mbichi??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wanaume wa dar mnatuzidi kwa kuongea tu kama wanawake na kucheza vigodoro tofauti na hapo nyie siyo type yetu type yenu ni akina asha boko na Hadija kopa hao ndo hadhi yenu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]siku hizi imekua sana ngumu kutofautisha kati ya mwanamke na mwanaume wa dar, maana wanafafanana mno!
ila vp lakini nasikia mlikua mnalala kwenye vifusi baada ya kupitiwa na bomoabomoa,
mshahamia kwingine au bado?
pigeni hata kolabo vijana 8 mkakodishe chumba muishi hapo
na baada ya kukatazwa kucheza pool table mnafanya ujinga gani sasa hivi?
Wa mikoaniWaporipori mpo?
Nilipisha tetemeko la Kagera now rudini tupeane madongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
WanakujaWa mikoaniView attachment 435812