Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

Nyie mnaolala na mifugo yenu ndo mmeambukizwa magonjwa hayo kisha mnayaleta Dar maana kila siku mnashindana kushuka Ubungo Bus Terminal
Sisi tunalima zabibu tu,mifugo ya wamasai.
 
Yaani nyie wanaume wa Dar mna hali ngumu mnakula mpaka utumbo wa kuku kisa nini
Afadhali umekuja
Mwezi wa 6 nilikuwa Mwanza nasubiri ndege nikamuona Msukuma anataka kupanda na mifugoytake
 
Unaenda supermarket unamkuta mporipori anatumia nguvu kupanda ngazi inayotumia umeme bila kujua kwamba kuna ya UP na DOWN matokeo take anatumia ya down Massa mawili anajikuta yupo palepale
kwiii kwiiii
 
Unaenda supermarket unamkuta mporipori anatumia nguvu kupanda ngazi inayotumia umeme bila kujua kwamba kuna ya UP na DOWN matokeo take anatumia ya down Massa mawili anajikuta yupo palepale
Kama namuona vile ndani ya hiyo scene.The gods must be crazy.Paka anapigana na image yake kwenye kioo.
 
Kumbe hata jasho la mjini linatofautiana harufu na la bush.Manake unakuta mtu anaogea mrenda na kufulia mrenda badala ya sabuni.
 
1476174622887.jpg
watoto wa bush
 
Kumbe hata jasho la mjini linatofautiana harufu na la bush.Manake unakuta mtu anaogea mrenda na kufulia mrenda badala ya sabuni.
Wamejifucha muda huu washarudisha mifugo yao bandani
 
Wanaume wa Dar scorpion tu anafunga mtaa mzima kuna ya serikali kutuma wanaume kutoka mkoa tuweze kudhibiti uhalifu unaosababishwa na uoga wa wanaume wa Dar
 
Usikute hao wanawake pichani ni wanaume wa Dar, maana siku hizi huwezi juwa nani mwanamke nani mwanamme kwa jinsi wanavyofanana mpaka makalio bandia.
 
Back
Top Bottom