Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,935
- 10,559
Bitoz upo kweli jumatatu lazima nikuletee msaada nasikia ile bomoa bomoa ya kupisha ujenzi wa SGR walipitia banda lako la kuishi nasikia unashi kwenye makorido ya watu
Madem Wenu Kila Kitu Fake Kuanzia Nywele Kucha Ngozi Papuchi Hata Sauti Vyote Fake Huku Kijijini Vitu Natural Aisee.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wacheki Joto City girlz
Mabushstar endeleeni kukaa maporini na kutambia kilimo + kutuita wanaume wa Dar 7bu kwenu hakuna vitu vizuri......
Mkachunge ng'ombe na kupalilia mipapai!!!
NB
Thread ipo kiutani zaidi
Nilitoweka mzeeBitoz upo kweli jumatatu lazima nikuletee msaada nasikia ile bomoa bomoa ya kupisha ujenzi wa SGR walipitia banda lako la kuishi nasikia unashi kwenye makorido ya watu
Fly over hazijakuacha salama....Nilitoweja mzee
Vipi bado unachunga ng'ombe huko porini kwenu ?
Fly over hazijakuacha salama....
Safi sana nilikuweko huko kwenu nikasema nikutafute nikaambiwa ulikimbia zoezi la mkuu wa mkoa la kupimwa tezi dumeNilitoweka mzee
Vipi bado unachunga ng'ombe huko porini kwenu ?
Nipo hapa rock beach nashushia supu ya sato safi kabisa vipi umerudiWaporipori bado mpo ?
Duuuu zimrnoga aiseee inabidi nije nami unizungushe hiyo mitaa nitoe ushamba..View attachment 838615View attachment 838616
Hivi hao waporipori vitu kama hivi wataviona wapi ?
Nafikiri siku wakija Joto City na kuona flyover watataka wazindue kwa kupitisha ng'ombe zao hapo
Nakumbuka nilipita daraja la Magufuli/Kilombero nikawakuta wanashindana kupitisha mifugo
Uwe makini mkuu na huyo kijana hana pa kuishi asije akalazimisha umpe hifadhiDuuuu zimrnoga aiseee inabidi nije nami unizungushe hiyo mitaa nitoe ushamba..
Naam mkuu nadhani wiki ijayo nitakua hapoSawa mkuu
Si upo Zenji lakini
Acha hizo mzee nilienda bush sasa si unajua hata umeme mbinde hivyo smartphone ikakosa kazi ....nikajiuliza hawa waporipori wanawezaje kuishi aisha ya kibundibundi ?Safi sana nilikuweko huko kwenu nikasema nikutafute nikaambiwa ulikimbia zoezi la mkuu wa mkoa la kupimwa tezi dume
Hahaaaaaa atanitembeza tu kisha nirufi home. Najua dar kugumuUwe makini mkuu na huyo kijana hana pa kuishi asije akalazimisha umpe hifadhi
Hebu kwanza tuulizane ulikuwa wapi kijana siku zote hizoAcha hizo mzee nilienda bush sasa si unajua hata umeme mbinde hivyo smartphone ikakosa kazi ....nikajiuliza hawa waporipori wanawezaje kuishi aisha ya kibundibundi ?
Lile zoezi lilikuwa kiki tu ya yule Ndombolo wa pake Ilala Boma !!!