Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
Kila siku unsniulizia hali.....unataka nikuazime pamba nini utambie kijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku unsniulizia hali.....unataka nikuazime pamba nini utambie kijijini
Pamba gani zile wanazovaa dada zako?Kila siku unsniulizia hali.....unataka nikuazime pamba nini utambie kijijini
Njoo rock city mall nikununulie ice cream mtaniNakuona mpori unavyoangahika kunyosha suti kwa kutumia mkaa huko kijijini kwenu ili ukatambie suti sikukuu hii town
Hahaha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bush Stars njooni mtoe povu hadi mjaze Simtank au bado mpo bize na kilimo ?
Born Town
Bush Stars![]()
Mbuzi wa dar😂😂😂![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wacheki Joto City girlz
Mabushstar endeleeni kukaa maporini na kutambia kilimo + kutuita wanaume wa Dar 7bu kwenu hakuna vitu vizuri......
Mkachunge ng'ombe na kupalilia mipapai!!!
NB
Thread ipo kiutani zaidi