Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

nyie wanaume wa dar hamjitambui kabisa yaani nyie na ujuaji wenu karibia viongozi wote wanaowaongoza huko dar wametoka mikoani kulikoni ina maana hakuna mwanaume wa kusimama kidete
 
Wivu gani katika ukwel kuwa fashion ndo inayowasumbua na uigaji wa mambo ya ngeseki
 
Wanaume wa dar mnatuzidi kwa kuongea tu kama wanawake na kucheza vigodoro tofauti na hapo nyie siyo type yetu type yenu ni akina asha boko na Hadija kopa hao ndo hadhi yenu
 
5db00d2611ebd880e9d03c6f37278972.jpg

Mcheki mwanamke wa Dar.....

Endeleeni kukaa tu mikoani na kutambia kilimo + kutuita wanaume wa Dar 7bu kwenu hakuna vitu vizuri......
Mkachunge ng'ombe !!!
siku hizi imekua sana ngumu kutofautisha kati ya mwanamke na mwanaume wa dar, maana wanafafanana mno!

ila vp lakini nasikia mlikua mnalala kwenye vifusi baada ya kupitiwa na bomoabomoa,
mshahamia kwingine au bado?
pigeni hata kolabo vijana 8 mkakodishe chumba muishi hapo
na baada ya kukatazwa kucheza pool table mnafanya ujinga gani sasa hivi?
 
nyie wanaume wa dar hamjitambui kabisa yaani nyie na ujuaji wenu karibia viongozi wote wanaowaongoza huko dar wametoka mikoani kulikoni ina maana hakuna mwanaume wa kusimama kidete
Nyie km mnajitambua mbona uchumi umeshikwa na wanaume wa Dar.....
nyie mnalima. kwa shida sisi tunakuja kulangua mazao yenu na mubaki maskini
Kumbe ndo kujitambua. .
 
Wanaume wa dar mnatuzidi kwa kuongea tu kama wanawake na kucheza vigodoro tofauti na hapo nyie siyo type yetu type yenu ni akina asha boko na Hadija kopa hao ndo hadhi yenu
Hanna lolote...
Nahisi upo shamba unalisha mifugo mida hii
 
siku hizi imekua sana ngumu kutofautisha kati ya mwanamke na mwanaume wa dar, maana wanafafanana mno!

ila vp lakini nasikia mlikua mnalala kwenye vifusi baada ya kupitiwa na bomoabomoa,
mshahamia kwingine au bado?
pigeni hata kolabo vijana 8 mkakodishe chumba muishi hapo
na baada ya kukatazwa kucheza pool table mnafanya ujinga gani sasa hivi?
Kibanda vyenu vya udongo vina tofauti gani na kulala nje
Ndio maana nyumba ya udongo haipigwi deki....mkiumwa na nyigu ndo mtapata akili
 
Unasema wanaume wa dar ndo mmeshika uchumi ukiangalia kwa umakini asilimia kubwa ya hao walioshika uchumi ni wa mikoani nyie kazi yenu ni kucheza bao na vigodoro halafu muda si mrefu tutawahamishia mkuranga wazaramo wote sisi tukishauza mifugo yetu na mifugo tunakuja kuwekeza nyie endeleeni tu kusema wa mikoani mtakuja kushituka dar imekuwa ya wanaume wa mikoani wanaojua kutumia fursa
 
Mifugo yenu muuziane wenyewe
Tutaweka gate pale Chalinze kupita iwe ni kwa kibali maalumu

ac067488dfc84de5e39056bcbc73746e.jpg
Mbaki kwenu kuchunga ng'ombe + kulima viazi & kupalilia mipapai milele
 
Back
Top Bottom