Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

1471008901860.jpg
 
Wajanja mnabwia unga kama matokeo yake nguvu kazi ya taifa inapotea eti ujanja kujichubua kama dada zenu
 
Bado nakusanya mifugo ya kuwaletea huko jijini kwenu ili kuwanusuru na wale kuku waliofia kwenye mabanda ya wafugaji wa dar na ile mishikaki ya mbwa waliogongwa na magari nataka nikuletee kitu jogoo geniun siyo unakula broiler matokeo yake vitambi kama ndoo sawa Bitoz nyangema?
 
Bado nakusanya mifugo ya kuwaletea huko jijini kwenu ili kuwanusuru na wale kuku waliofia kwenye mabanda ya wafugaji wa dar na ile mishikaki ya mbwa waliogongwa na magari nataka nikuletee kitu jogoo geniun siyo unakula broiler matokeo yake vitambi kama ndoo sawa Bitoz nyangema?
Hatutaki mifugo yenu michafu labda muiogeshe na kuivalisha boxer isichafue mazingira
 
Mifugo gani michafu inapanda usafiri kitu SCANIA R420 acha kula mishikaki ya mbwa waliokufa kibudu utakuja kubweka siku moja ukiwa unabwia unga
 
Hahahahaaa wa bush bhana hakuna aloumbiw shida na matatizo hayazoeleki wewe tumia nguvu mm natumia akili tifauti mm nakula kama moja ya starehe we unakula ili tumbo lijae tofaut
 
Tatizo lao kubwa na % kubwa sana ya wanawake wa Dar na Mijini kwa jumla weng ni Fake, unakuta..
Nywele za bandia,
Kope za macho bandia,
Ngozi full mkorogo, mzungu si mzungu mchina si mchina yaan n Fake,
Makalio full adjuste Fake,
Ipsi full machemical Fake,
No kope n full wanja Fake,
 
Nywele bandia kucha bandia kope bandia rangi ya ngozi bandia makalio bandia sasa hao ni wanawake au wewe Bitoz nyangema
 
ha ha haaah!, naona match ni kati ya "DAR Vs MIKOANI". Ha ha haaah!, wamikoani siku mabasi yakigoma kuwashushia ubungo ujue wote watapotea njia, ha ha haaaa aaaaah!. Mi simo kwenye ugomvi aisee!
Nini ubongo washushe popote cc ndo wanaume wa arusha
 
Mmelianzisha halafu mnasema mnasimangwa!!!

Gomeni kuleta mazao yenu sisi tuntaagiza nchi za nje tuna mapene wala hatulimi....

Wamikoani wahafu km mifugo yenu....

Eti tunajadili kina Diamond, nyie ambao hamjawahi ht kuona shoo yKe live au mnacheki TV zenu za chogo mtajua ht Harmonize?
Eti tunaazima magali, mbona mnaazima baiskeli huko kwenu

Nyinyi mnamiliki NOKIA ZA TOCHI selfie labda mpige kwa site mirror za bodaboda tu

NB:
MAasimango yakizidi gomeni kulima ili mfe njaa!!
Cyo wote mmkuu wengine tunajielewa vitu ka cmu ni vitu vya kawaida sana na cyo wote wa mikoani niwakulima ama wafugaji ila cyo mbaya ni mtazamo wako
 
Back
Top Bottom