Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

Sasa nyinyi mnajiremba sana ndo maana wengi mnaolewa
Inaonekana unatokea ukoo wa kina Kaoge japo upo mkoani....ndo maana huachi kutajataja mambo yao
 
1470312312539.jpg
 

Na siku mifugo yao ikifa kwa njaa na mazao kukauka kwa ukame utawaona wanapanda malori kuja Dar kupiga mizinga.....
Makofi tafadhali
Hv kwa mfano Njaa kali na dhiki kuu ikitufika hapa nchini na anaetoa chakula ni mfiraji na kampuni yake ya watu wengi (Mamende food supply&co ltd) tu.ni kipigo kwa chakula (kifilo) ni wapi kati ya hawa wataanza kutoa tako? A:WANAMME WA DAR(B) WANAMME WA MIKOANI.
 
Wanaume wa Dar sijui kama hii battle mnaiwez maana msuli wa Cassava kutoka Kileji Vs Soseji ya Kuku wa kisasa Mh ni kitete cha kidampa hiko.
 
Wanaume wa Dar sijui kama hii battle mnaiwez maana msuli wa Cassava kutoka Kileji Vs Soseji ya Kuku wa kisasa Mh ni kitete cha kidampa hiko.
Predict & win......
 
nsanzu usitake nicheke bure makao makuu dodoma halafu serikali yote iko dar hayo ni makao makuu ya nchi au kijiji? Halafu sasa hivi ndio wanasema serikali ihamie dodoma
We mbuzi huo ukubwa wako bila uelewa ni kazi bure.
 
Halafu nsanzu nahisi hapo darslaam unalala kwa mjomba au kwa shemeji dume zima una mipasho
 
Back
Top Bottom