Plan Of Action
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 462
- 382
daaaah... nimeshindwa kuvumilia, teh... dude limesimama bila miguu dadek..
daaaah... nimeshindwa kuvumilia, teh... dude limesimama bila miguu dadek..
Mporipori punguza mori usije choma kibanda chako cha nyasiWewe Bitoz kumbe ni nzubadii namna hiyo king ni jina la ukoo kenge mkubwa wewe umevimbiwa chips na supu ya pweza unakuja kuhororoja hapa mimi ni dume tuheshimiane
Mjini ni mjini tu......endeleza kilimo huko porini acha majunguWewe unaishi hapo bonde la msimbazi kwenye nyumba zimeezekwa kwa madebe yakija mafuriko mnahaha pakulala naishi mtaa ambao hata mvua zinyeshe mwezi mzima hakuna mafuriko sasa wewe na yule big mama wako mnaishi kwa kuvizia
nimekupata mdaslamKm ni ujinga si uwaachie wajinga...we nenda Jukwaa la Polifix hujalazimishwa kuja kubishana/kutaniana