Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

Wamelianzisha wao wa "mikoani" subiri tuone battle za uhakika humu jf

Wajipange
ha ha haaah!, naona match ni kati ya "DAR Vs MIKOANI". Ha ha haaah!, wamikoani siku mabasi yakigoma kuwashushia ubungo ujue wote watapotea njia, ha ha haaaa aaaaah!. Mi simo kwenye ugomvi aisee!
 
Na siku mifugo yao ikifa kwa njaa na mazao kukauka kwa ukame utawaona wanapanda malori kuja Dar kupiga mizinga.....
Makofi tafadhali
 
Aisee!, kweli kabisa. Akija kukutembelea Dar hasemi atarudi lini utakuta miaka inakatika na hana dalili ya kurudi mkoani! ha haa haaaa!
 
Ila hapa wanajifanya vidume sababu wamezoea kulalia mikeka huko kwao na kushinda vilabu vya mataputapu(yananuka km mavi ya sokwe)
 
Wanaume wa Dar hawajui mambo ya shambani lakini kila siku wanategemea malori yashushe mazao pale Kariakoo. Sasa endeleeni kutusimanga sisi wa mikoani halafu tukache kupakia malori yanayokuja Dar badala yake tupeleke nchi za nje. Wanaume wa Dar kazi yenu ni kujadiliana DNA ya Tiffah na mimba ya Wema Sepetu. Endeleeni tu na mtindo wenu wa kujichubua halafu mnasingizia mnakunywa maji ya chupa kumbe ni chupa zenye krimu. Mnajidai wajanja kumbe mnapaki magari yenu CCM halafu wakati wa uchaguzi mnajifanya mnashabikia UKAWA. Wanaume wa Dar mnaweza tu kupiga picha kwenye mahoteli na kumbi za starehe huku hewa ikiwa chafu ya kunyang'anyana. Mnaazimana tu magari ili mkakuwadie wake za watu.
 
Nyie wanaume wa dar mna nini cha kujivunia tofauti na kupaka powder carolite na ripstik kuvaa kata k njooni mikoani kwa wanaume
 
Wanaume wa Dar hawajui mambo ya shambani lakini kila siku wanategemea malori yashushe mazao pale Kariakoo. Sasa endeleeni kutusimanga sisi wa mikoani halafu tukache kupakia malori yanayokuja Dar badala yake tupeleke nchi za nje. Wanaume wa Dar kazi yenu ni kujadiliana DNA ya Tiffah na mimba ya Wema Sepetu. Endeleeni tu na mtindo wenu wa kujichubua halafu mnasingizia mnakunywa maji ya chupa kumbe ni chupa zenye krimu. Mnajidai wajanja kumbe mnapaki magari yenu CCM halafu wakati wa uchaguzi mnajifanya mnashabikia UKAWA. Wanaume wa Dar mnaweza tu kupiga picha kwenye mahoteli na kumbi za starehe huku hewa ikiwa chafu ya kunyang'anyana. Mnaazimana tu magari ili mkakuwadie wake za watu.
Mmelianzisha halafu mnasema mnasimangwa!!!

Gomeni kuleta mazao yenu sisi tuntaagiza nchi za nje tuna mapene wala hatulimi....

Wamikoani wahafu km mifugo yenu....

Eti tunajadili kina Diamond, nyie ambao hamjawahi ht kuona shoo yKe live au mnacheki TV zenu za chogo mtajua ht Harmonize?
Eti tunaazima magali, mbona mnaazima baiskeli huko kwenu

Nyinyi mnamiliki NOKIA ZA TOCHI selfie labda mpige kwa site mirror za bodaboda tu

NB:
MAasimango yakizidi gomeni kulima ili mfe njaa!!
 
Harmonize ndo nani kwani?
 
Dawa ya hawa waporipori ni kuhamisha Kituo cha mabasi ubungo and kuzuia treni. Kwisha wao.
c4daad37efde9e14a933f6fe7ae25b20.jpg
 
Back
Top Bottom