Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

1471600336969.jpg
 
Huku mkoani wanakuja watu wenye kujitambua sasa wewe mpaka powder utapaweza huku kwa wanaume wa kazi?
 
Acha uboya wewe umeshindwa kutafuta pesa kwa jasho lako umeamua kujiwekesha kwa sugar Mummy hapo kisa pesa za wanaume wenzako utakuja kupakatwa
 
Punguza kelele we ng'ombe mimi nina dili zangu town tena nahitaji shambaboi nimpe kazi kazi ya mutunza bustani ya nyumba
Nahisi hii kazi inakufaa
 
Sasa wewe Bitoz kwa akili yako fupi kama kamba za kiatu unafikiri kwanini watu wenye tabia mbovu wamejazana dar
Nakutafuta we bg'ombe kuna toto nalileta huko porini
1472715652584.jpg

Hiyo material ya kichina mimi siwezi kutumia vitu fake halafu umesikia zile shule zenu za kule ilala watoto wenu wa kiume wanageuzana kinyumenyume sababu mnawalisha urojo na chips watoto wamelegea wanapakuana wao wenyewe
 
Inaonekana unapenda chipsi ndo maana huchoki kuzitajataja
Njoo nikununulie
 
ivi wanaume wa Dar wameioa lini hiyo Dar????
 
wengi mnaoona Dar ni kwa maana sana mmekuja kwa ajili ya shule tena level ya chuo mkapata vikazi na kwa bahati mkono wa MUNGU akawabeba mkapata fursa na hasa kununua kagari na kupanga upande ndo mnaona mmefikaaaaaa!
acheni dharau na maisha ya tamthilia
 
Huo ni mtazamo wako
Hapo tupo kiutani tu hata ukifuatilia mabishano yetu utagundua tunatambiana kiutani siyo kutukanana
 
ulisema anayebisha ana nini?😡😡😡😡
 
Back
Top Bottom