Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
- Thread starter
- #281
Kenya ht kwa pikipiki kwa kutokea huko porini si unafika ? acha dharau wenzio tumefika hadi kwenye sanamu lile la LIBERTY kule kwa Mzee BushHahahahaaa Bitoz umezaliwa kinondoni hujawahi kutoka nje ya darisalaam vitu kama hivyo nilikuwa naviona sana kwa mzee kibaki pale mombasa utaniambia nini wewe kula kulala
Mimi ni kula kulala nahisi we mporipori itakuwa ni kula kuosha mifugo au kula kukaa au kula kusimama tu