Madem hawanaga hata back up ya kanga.. Sasa wakumbwe na dharura ya period utafurah... Pochi kubwaaaa ndan lina powebank , line kama za simu kama 5 hiv, make up na body spray.. Hawana mana hawa...

Hivi msimu wa kulima viazi huko porini haujaanza tu ?
Ila jamani wanawake wa dar wanaomba hela kila dakika![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bush Stars njooni mtoe povu hadi mjaze Simtank au bado mpo bize na kilimo ?
Na ww toroka uje utazeekea huko porini na kuzikwa km mifugo yenu shauri yako![]()
Nimezaliwa Agha Khan ...wala sijaletwa mjini km ng'ombe wenu na nitazeeka na kuzikwa pale Kinondoni kwa wajanja tofauti na nyie mtakaozikwa pembeni ya mazizi ya ng'ombeBwahaaaaa...., kawatoroshe wale uliowaacha kijijini nao waje wafaidi hayo yanayokuzuzua mjini! Najua wakiona maghorofa, barabara za lami na mabasi ya mwendo kasi watagoma kurudi kijijini kama wewe!!

Nani aje dar nitakuja tu kuleta mifugo yangu narudi zangu mwanza mji msafi sio kama hako kamji kenu kananuka na mmshukuru mkuu wa kaya mwanaume wa kazi mpaka anawahamasisha mfanye usafi mmekalia kupaka mikorogo tu mikono laini hivi Bitozi kwa mikono yako hiyo unaweza kumega hata tonge la ugali wa dona?
Mtani Bitoz nyangema tukutane kesho nikupe beberu la mbuzi angalau unukie kianaume sio unanukia mikorogo ya dada zako sawa?

Sasa mimi nikishauza mifugo yangu si najimegea dada zako wale wa mikocheni sasa hivi wameshabooking kabisa wanajua mwanaume kesho anaingia msaka pesa mpambanaji hata akikutana na panyaroad anawamudu sasa wewe mcheza bao Bitoz nyangema pesa huna kwanini nisijimegee tu dada zako halafu uwaambie wapunguze njaa sawa?