Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

Sema Bitoz nyangema umetupiwa virago na big mama nije nikupe hifadhi huku mkoani?
 
Mwaka mzima tunabisha na kibanda cha big mama unadeki saa ngapi mariooo au kimenuka sema tukusaidie wanaume wa kazi hatuna roho ya kwanini
 
Hongera bushstar kwa kumiliki kibanda cha tope chenye thamani ya 179,520/= na lashamba kenye mipapai 7
 
Nina uwezo wa kukumiliki kama ilivyo mifugo yangu tofauti ya wewe na mifugo wewe utalala ndani chumba swafi kabisa na vigae sio hapo bonde la msimbazi unaishi ukiwaza mafuriko yasipite
 
Hivi mnaposema mwanaume wa dar mnamaanisha mzaliwa wa Dar, Mzaramo au as long mwanaume anaishi Dar ni wa Dar?!
 
Hayo ya mapovu ni kwasababu wanataka kweli kuja Dar lakini sasa wataanzia wapi?
 
49d655f909f036ff0b8f7cb2cec6f75f.jpg
Waporipori utwaweza......kila siku wanadandia malori ili waje DSM halafu wanajifanya kuponda
 
Nina uwezo wa kukumiliki kama ilivyo mifugo yangu tofauti ya wewe na mifugo wewe utalala ndani chumba swafi kabisa na vigae sio hapo bonde la msimbazi unaishi ukiwaza mafuriko yasipite
8729e5e4af7d772e721791c733ad4456.jpg

Sawa kabisa.....nakuona umeanza vituko baada ya kuuza mazao yako gulioni
 
Bitoz mbona huyo ni babu yako katoka kucheza bao tandale kakoswa nauli konda kamwambia mzee ning'inia hapo
 
8efa4d6f919456346c7c97cf4e60d7a2.jpg

Tunaongelea Tandale ya Mwanza?
Huku kwetu tuna mabasi ya mwendokasi na mababu wa kijanja
 
Mimi mwenyewe naona kweli wote mmekuwa wa mwendo kasi dakika mbili tu chaliii hahahahahahah Bitoz nyangema kwema lakini mtani nimemiss dada yako wa pale mikocheni
 
Bushstar si ulale tu na mifugo yako
 
Mifugo inalala bandani mimi siyo kama wewe unalala na gunia la mkaa vyombo mabox ya nguo kwa sababu najua pesa ya kununu begi huna unalala stoo
 
Bushstar kwa fujo.....sasa stoo ya huku mjini utalinganishaje na vibanda vyenu vya tope huko porini
1f0a2204849789b69ec23caec032fd8d.jpg
 
Back
Top Bottom