Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,221
- 11,374
Endelea tu kuwa mariooo siku kikinuka hapo kwa big mama utatupiwa virago vyako mlangoni na vile viboksa vyako vilivyochanika mwanaume majukumu bwana mtani unakuwaje tena unafugwa kama mifugo yangu