Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

Enyi wanaume wa dar, kumbe ni kweli hamuhamasiki mpaka wanawake wawavalie nguo nusu uchi!!! "PICHA NIMEZIONA" Basi endeleeni tu kunywa pweza
Waporipori wavaa kaniki mmezoea kunywa chai ya hiriki na kun'goa visiki na nguo zenu za pink mnazoanika juu ya masink halafu mnaleta makelele km pikipiki
 
Waporipori wavaa kaniki mmezoea kunywa chai ya hiriki na kun'goa visiki na nguo zenu za pink mnazoanika juu ya masink
Aaah hapo utakuwa umeimba kwa kubana pua. Hivi kwanini lakini wanaume wa dar mna mambo ya ajabu ajabu?
Umewahi kusikia mkuu wa mkoa gani mwingine amekemea ushoga zaidi ya huyo wa kwenu?
Jamani wanaume wa dar, acheni mambo ya ajabu ajabu, mnamkera mheshimiwa wenu kwakweli
 
59766e14ddc64b58cf9526717290edab.jpg
Endeleeni kilimo acheni umbea
 
59766e14ddc64b58cf9526717290edab.jpg
Endeleeni kilimo acheni umbea
Ukiangalia vizuri hiyo picha utaona nyumba nzuri nzuri za dar. Huku mkoani mura ukipiga picha shambani kwenye background utaona mapori tu. Sasa huyo mwanaume wa dar analima kabustani hapo mbezi kabisa halafu unasema ni wa mkoa kweli jamani. Wanaume wa dar acheni mambo ya ajabu jamani
 
Nakuona unazama huko porini ila unajikakamua
2d096b86f9e52f90acb0ca014d040b0b.jpg
 
Bitoz mmezuiliwa kupuliza shisha vipi nikuletee tumbaku la urambo tabora?
 
Na siku mifugo yao ikifa kwa njaa na mazao kukauka kwa ukame utawaona wanapanda malori kuja Dar kupiga mizinga.....
Makofi tafadhali

Hahaaaa, nawe siku ukiwatembelea pale urudipo mjini wafungasha marumbesa sijui ya chakula, kuku n.k..., toka huko huko kujijini.
 
Mifugo yenu muuziane wenyewe
Tutaweka gate pale Chalinze kupita iwe ni kwa kibali maalumu

ac067488dfc84de5e39056bcbc73746e.jpg
Mbaki kwenu kuchunga ng'ombe + kulima viazi & kupalilia mipapai milele

Bwahahaaaaa, watu wa Dar huwa mnakula nyama toka wapi kwani?! Hivi Mwananyamala au Kinondoni wanamifugo?! Jiongeze kidogo tu ktk ufikiri wako...
 
Bwahahaaaaa, watu wa Dar huwa mnakula nyama toka wapi kwani?! Hivi Mwananyamala au Kinondoni wanamifugo?! Jiongeze kidogo tu ktk ufikiri wako...
b2d4283d76867a57b1bb3e9268334679.jpg

Mjini ni mjini tu......endelea kukaa porini kwenu mpaka siku ungatwe na nyoka au kunusurika kumezwa na mamba ndo utapata akili
 
Bitoz mmezuiliwa kupuliza shisha vipi nikuletee tumbaku la urambo tabora?
Nyie kwanza mmracha kuvuta ugoro? Au mnasubiri hadi siku mmezwe na chatu ndo uwe mwisho wenu
Tena nasikia Fisi wameanza kuwasumbua huko
Poleni sana waporipori
 
Bitoz umezaliwa mbagala tembea uone jumamosi naleta mifugo tukutane chalinze geti lenyewe limewashinda nguvu kazi mnamalizia kwenye shisha na kubwia unga mmekuwa nyoka?
 
Bitoz umezaliwa mbagala tembea uone jumamosi naleta mifugo tukutane chalinze geti lenyewe limewashinda nguvu kazi mnamalizia kwenye shisha na kubwia unga mmekuwa nyoka?
Hatuna mpango na mifugo yenu michafu inakunyakunya ovyo itatuchafulia jiji
Mjini tunatumia akili siyo nguvu...endeleeni kubwa ugoro na kulisha mifugo
Mmekomaa 7bu mna utapiamlo
 
b2d4283d76867a57b1bb3e9268334679.jpg

Mjini ni mjini tu......endelea kukaa porini kwenu mpaka siku ungatwe na nyoka au kunusurika kumezwa na mamba ndo utapata akili

Kakuambia nani naishi porini?!
Mliokuja mjini nna shida sanaaa.., punguzeni ulimbukeni.
 
Hahaaaa, nawe siku ukiwatembelea pale urudipo mjini wafungasha marumbesa sijui ya chakula, kuku n.k..., toka huko huko kujijini.
Hivi msimu wa kulima viazi huko porini haujaanza tu ?
 
Kakuambia nani naishi porini?!
Mliokuja mjini nna shida sanaaa.., punguzeni ulimbukeni.
Mikoani kote ni porini tu ht kuwe na maghorofa........ndio maana mnaweza kujisaidia popote bila kuonekana
Nimezaliwa Joto City (Born Town) na km ulifikiri nimeletwa tu km mifugo yenu POLE SANA
 
Madem hawanaga hata back up ya kanga.. Sasa wakumbwe na dharura ya period utafurah... Pochi kubwaaaa ndan lina powebank , line kama za simu kama 5 hiv, make up na body spray.. Hawana mana hawa...
 
Back
Top Bottom