Mwanamke wa Dar

Mwanamke wa Dar

Yaani mji tuujenge wanaume halafu wewe mpaka powder unaanza kutuletea mbwelambwela jumamosi nakuja tukutane chalinze
 
Yaani mji tuujenge wanaume halafu wewe mpaka powder unaanza kutuletea mbwelambwela jumamosi nakuja tukutane chalinze
Endelea tu kupaka majivu usoni huko kwenu na kuendeleza kilimo cha mipapai
cd228b8fdddcd4297cc5004665823ac1.jpg

 
Nyie wanaume wa dar mna nini cha kujivunia tofauti na kupaka powder carolite na ripstik kuvaa kata k njooni mikoani kwa wanaume
Tukitoka apo na kumtongoza mschana wako hakatai
Xo stop kupondaponda2 na kufata mkumbo
 
Wanaume wa Dar hawajui mambo ya shambani lakini kila siku wanategemea malori yashushe mazao pale Kariakoo. Sasa endeleeni kutusimanga sisi wa mikoani halafu tukache kupakia malori yanayokuja Dar badala yake tupeleke nchi za nje. Wanaume wa Dar kazi yenu ni kujadiliana DNA ya Tiffah na mimba ya Wema Sepetu. Endeleeni tu na mtindo wenu wa kujichubua halafu mnasingizia mnakunywa maji ya chupa kumbe ni chupa zenye krimu. Mnajidai wajanja kumbe mnapaki magari yenu CCM halafu wakati wa uchaguzi mnajifanya mnashabikia UKAWA. Wanaume wa Dar mnaweza tu kupiga picha kwenye mahoteli na kumbi za starehe huku hewa ikiwa chafu ya kunyang'anyana. Mnaazimana tu magari ili mkakuwadie wake za watu.
Tatizo unafatilia af unajifanya hupendi mambo ayo
 
Sasa nyie wanaume mdebwedo wapaka powder muda wote mnacheza bao huo muda wa kuendeleza mji wenu mnaupata wapi nguvu kwanza hamna mpaka tutoke kwetu mikoani tuje tuwekeze kilichobaki hapo darisalaam ni kuwahamisha wote wapaka mikorogo muhamie kisarawe na mkuranga
 
5db00d2611ebd880e9d03c6f37278972.jpg
8bbe8088bdc81e5b17eb172e20e6cbfc.jpg

Nacheki Joto City girlz

Endeleeni kukaa tu maporini na kutambia kilimo + kutuita wanaume wa Dar 7bu kwenu hakuna vitu vizuri......
Mkachunge ng'ombe na kupalilia mipapai!!!

Bishoo la Joto City
The Bitoz
si mchezo
 
Viongozi karibia wote tumewaazimisha wanaume kutoka mikoani nyie mmekalia kucheza tu bao na kupaka mikorogo kama dada zenu
 
Sina swaga wakati ukweli ndio huo yaani mpaka tutoke mikoani tuwatawale ila nyie hamuwezi kuja mikoani kutuongoza hata siku moja
 
Nijifariji kwa lipi ukweli ni huu hakuna mwanaume wa dar anaweza kuja mkoani kutuongoza ila sisi tunatoka mikoani kuja kuwaongoza na kuwatawala juu upo hapo?
 
Nijifariji kwa lipi ukweli ni huu hakuna mwanaume wa dar anaweza kuja mkoani kutuongoza ila sisi tunatoka mikoani kuja kuwaongoza na kuwatawala juu upo hapo?
Kweli ww Bushstar mawazo yako km Bushman
 
Back
Top Bottom